Joseph kimlio
JF-Expert Member
- May 18, 2026
- 745
- 1,329
Ninanunua bidhaa gani kwako?Muigizaji Faqueen amesema mwanaume anayetarajia kumuoa anatakiwa kuwa tayari kutoa mahari ya shilingi bilioni moja.
Akizungumzia suala hilo, Faqueen amesema kiasi hicho ndicho kitakachomfanya angalau aanze kumfikiria mwanaume anayekuja kwa ajili ya ndoa.
โMwanaume akija na mahari ya bilioni moja, angalau nitamfikiria,โ amesema Faqueen
View attachment 3661274
Bikra??Muigizaji Faqueen amesema mwanaume anayetarajia kumuoa anatakiwa kuwa tayari kutoa mahari ya shilingi bilioni moja.
Akizungumzia suala hilo, Faqueen amesema kiasi hicho ndicho kitakachomfanya angalau aanze kumfikiria mwanaume anayekuja kwa ajili ya ndoa.
โMwanaume akija na mahari ya bilioni moja, angalau nitamfikiria,โ amesema Faqueen
View attachment 3661274
Aweke tako tuoneHahaha ana nini cha mno hicho kipusa tu, ataishia kuzalishwa na wajuba
Tako ndio billion moja, hilo tako lina nini, kuna dada mmoja likuwa akiitwa masogange alikuwaga na mzigoAweke tako tuone
Muda ukifika na nyinyi mtapataIla haya maisha bana. Sisi tusio na kitu ndo tuna mbwembwe kibao.
Mkuu atakama akawa bikra bado pesa ndefu.Bikra??
Sijui kwanin hii comment umenichekesha sana.Miss Halima mambo!
Ila jamii forum ya sikuhizi nashindwa kuilewa kabisa..Muigizaji Faqueen amesema mwanaume anayetarajia kumuoa anatakiwa kuwa tayari kutoa mahari ya shilingi bilioni moja.
Akizungumzia suala hilo, Faqueen amesema kiasi hicho ndicho kitakachomfanya angalau aanze kumfikiria mwanaume anayekuja kwa ajili ya ndoa.
โMwanaume akija na mahari ya bilioni moja, angalau nitamfikiria,โ amesema Faqueen
View attachment 3661274
Labda Bilioni 1 ya Zimbabwe ndiyo naweza kutoa ila Bilioni 1 ya TZ kwa ajili ya PID Shombo la Ferry?Muigizaji Faqueen amesema mwanaume anayetarajia kumuoa anatakiwa kuwa tayari kutoa mahari ya shilingi bilioni moja.
Akizungumzia suala hilo, Faqueen amesema kiasi hicho ndicho kitakachomfanya angalau aanze kumfikiria mwanaume anayekuja kwa ajili ya ndoa.
โMwanaume akija na mahari ya bilioni moja, angalau nitamfikiria,โ amesema Faqueen
View attachment 3661274
๐๐ hata huo ni mchango mkuuuSijui kwanin hii comment umenichekesha sana.
Mkuu hujaona cha kuchangia kwenye content???๐๐๐
Ukaona utoe salam tu?
Ahahahah.๐๐ hata huo ni mchango mkuuu