Mahari zingine ni majanga!

FaizaFoxy

Platinum Member
Joined
Apr 13, 2011
Posts
100,246
Reaction score
123,145
Mambo mengine ingawa ni ya "kweli" kabisa na ni "imani" ya wengi, lakini inabidi yawe jukwaa hili la utani. Maana mahari ya govi ni zaidi ya utani.

Nimecheka sana tena kuona kuwa mkono wa sweta, ndiyo, namaanisha govi, govi hili la wenye magovi limeshawahi kutumikia kama mahari ya kumuoa binti, tena binti mfalme. Kama huamini endelea kusoma...

25 Naye Sauli akasema, Mwambieni Daudi hivi, Mfalme hataki mahari yo yote, ila anataka govi mia za Wafilisti, ili ajilipize kisasi adui za mfalme. Basi Sauli alidhani kumwangamiza Daudi kwa mkono wa Wafilisti.

26 Na watumishi wake walipomwambia Daudi; maneno hayo, ilimpendeza Daudi sana kuwa mkwewe mfalme. Na siku zilikuwa hazijaisha bado;

27 basi Daudi akainuka, akaenda yeye na watu wake, akaua katika Wafilisti watu mia mbili; na Daudi akazileta govi zao, wakampa mfalme hesabu kamili, ili awe mkwewe mfalme. Naye Sauli akamwoza Mikali, binti yake.

Biblia hiyo, 1 Samuel 18.
 
Ndiyo kwanzaaa ni 07:27 Asubuhi, unakuja na udini.
"Udini" ndiyo nini?

Hebu be on the lighter side, huoni ufahari kuwa biblia imenichekesha asubuhi asubuhi?

Hivi wewe unaenda kuhesabu, govi la kwanza, pili, tatu, nne... Mpaka 200 kwa mkweo?

Kwi kwimkwimkwi teh teh teh teh. Nimecheka sana .
 
Fails bhanaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Udini" ndiyo nini?

Hebu be on the lighter side, huoni ufahari kuwa biblia imenichekesha asubuhi asubuhi?

Hivi wewe unaenda hawa ku hesabu, govi la kwanza, pili, tatu, nne... Mpaka 200 kwa mkeo?

Kwi kwimkwimkwi teh teh teh teh. Nimechekq sana .
Lakini kaka, mbona hata Quran inasema jua huzama ndani ya TOPE ZITO, hiyo yenyewe haijakuchesha?
 
Lakini kaka, mbona hata Quran inasema jua huzama ndani ya TOPE ZITO, hiyo yenyewe haijakuchesha?
Hiyo haichekeshi, Inasikitisha.

Lakini nambie wewe hujachekanhata kidogo kufikiria mtu kwenda na mzigo wa magovi anaupeleka ukahesabiwe na wakweze kama mahari?
 
Naona msimu wa majini ushapanda
 
"Udini" ndiyo nini?

Hebu be on the lighter side, huoni ufahari kuwa biblia imenichekesha asubuhi asubuhi?

Hivi wewe unaenda hawa ku hesabu, govi la kwanza, pili, tatu, nne... Mpaka 200 kwa mkweo?

Kwi kwimkwimkwi teh teh teh teh. Nimecheka sana .
Ha ha ha ha hapa Faiza una kesi ya kujibu.
Umeumiza mbavu zangu asubuhi asubuhi [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Lakini kaka, mbona hata Quran inasema jua huzama ndani ya TOPE ZITO, hiyo yenyewe haijakuchesha?
Huyu waweza kumwita dada au mama sio kaka

ᵂᵒʳʳʸ ⁱˢ ᵃ ʷᵒʳᵈ ᵗʰᵃᵗ ᴵ ᵈᵒⁿᵗ ᵃˡˡᵒʷ ᵐʸˢᵉˡᶠ ᵗᵒ ᵘˢᵉ✓
 
"Udini" ndiyo nini?

Hebu be on the lighter side, huoni ufahari kuwa biblia imenichekesha asubuhi asubuhi?

Hivi wewe unaenda hawa ku hesabu, govi la kwanza, pili, tatu, nne... Mpaka 200 kwa mkweo?

Kwi kwimkwimkwi teh teh teh teh. Nimecheka sana .
Hiyo ilikua ni lugha ya dharau kwa watu wasiotahiriwa (magovi) ambao walikua ni watu wa mataifa mengine tofauti na Waisrael. Ungekua umeelewa ungesikitika badala ya kucheka. Maana waliouawa ni (WAPALESTINA) wafilisti mnaowatetea hii leo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwache ajifurahishe tupo jukwaa husika.

Huyu mfalme kiboko kweli huyu, kataka mahari ya magovi mia tu...

...Mfalme hataki mahari yo yote, ila anataka govi mia...
 
Jamaa kachukua binti kwa magovi tu, halafu badala ya govi mia alizotaka mfalme, mchumba kapeleka mia mbili!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…