Wewe wacha porojo, vuta picha ya magovi mia mbili kwa mfalme. Mfalme, hesabu hizooo!FaizaFoxy yaani wewe ni mdini kiasi kwamba unavuka mipaka
emu punguza hzo mambo zako mama dooh! unazidi sasa
Bible imetumia lugha ya picha kwa kiasi kikubwa, bnafsi me mwenyewe naweza soma nikatoka kapa bila kuelewa,sasa wewe unaforce kuielewa utakavyo.
kuna uhuru wa kuzungumza utakacho lakini si kwa mtindo wa kukashfu dini ya wenzako kwa kigezo cha kijinga eti uko jukwaa la jokes
punguza mama,unakeraaaa mno
Sasa imebidi nicheke tu.Kwamba awaue Wafilisti kisha awavue mavazi yao na kuanza "kuwakwenyua" magovi?What a scene! Si hivyo tu.Yakapelekwa magovi rundo na hadi hesabu kupitiliza.Funny,huh?Wewe wacha porojo, vuta picha ya magovi mia mbili kwa mfalme. Mfalme, hesabu hizooo!
Wacha kuwa serious wakati wote, furahi na biblia.
Lishakatwa kitu kama gobole litakushughulikia barabara!Njoo tu, kwetu hakuna mahari ya magovi, lako umeshakata?
By the way wajitahidi kwenda kutoa mfuko aa sueta..Take it as a joke. Ndiyo maana nikaiweka jukwaa hili.
Mapadri wenyewe wanaonisoma saa hizi wanacheka, magovi mia mbili, si mchezo! Kiroba kizIma😱.
Maamuzi ya wafalme wengi yamekuwa na uwalakini wakati mwingi.Take it as a joke. Ndiyo maana nikaiweka jukwaa hili.
Mapadri wenyewe wanaonisoma saa hizi wanacheka, magovi mia mbili, si mchezo! Kiroba kizIma[emoji33].
MAGOVI YA WAPALESTINA 😀😀😀😀😀😀Jamaa kachukua binti kwa magovi tu, halafu badala ya govi mia alizotaka mfalme, mchumba kapeleka mia mbili!
KUONESHA ANAWAWEZA YAAN HATA ANGETAKA BUKU ANGEPELEKEWA BUKU2Mfalme kutaka mia kidume kikapeleka mia mbili.
Wapalestina ndio Waislamu wa sasa? Naomba unifahamisheMambo mengine ingawa ni ya "kweli" kabisa na ni "imani" ya wengi, lakini inabidi yawe jukwaa hili la utani. Maana mahari ya govi ni zaidi ya utani.
Nimecheka sana tena kuona kuwa mkono wa sweta, ndiyo, namaanisha govi, govi hili la wenye magovi limeshawahi kutumikia kama mahari ya kumuoa binti, tena binti mfalme. Kama huamini endelea kusoma...
25 Naye Sauli akasema, Mwambieni Daudi hivi, Mfalme hataki mahari yo yote, ila anataka govi mia za Wafilisti, ili ajilipize kisasi adui za mfalme. Basi Sauli alidhani kumwangamiza Daudi kwa mkono wa Wafilisti.
26 Na watumishi wake walipomwambia Daudi; maneno hayo, ilimpendeza Daudi sana kuwa mkwewe mfalme. Na siku zilikuwa hazijaisha bado;
27 basi Daudi akainuka, akaenda yeye na watu wake, akaua katika Wafilisti watu mia mbili; na Daudi akazileta govi zao, wakampa mfalme hesabu kamili, ili awe mkwewe mfalme. Naye Sauli akamwoza Mikali, binti yake.
Biblia hiyo, 1 Samuel 18.
Ila wewe kibibi na umri huo unafikiria mada za ajabu ajabu. Akili umezila?Wapelestina wapo wenye dini na wasio na dini pia.
Hao ambao hawakukata magovi mpaka jamaa akayapata mia mbili inatujulisha kabisa walikuwa dini gani.
Tupigie picha hiyo mahari labda 🙂 tutaelewa.Biblia iantumia sana lugha ya picha ndiyo maana "Yesu alisema atalivunja na kulijenga kanisa kwa siku tatu"
Watu hawakuelewa ujumbe ule, hata hii yaelekea ina maana nyingine bali wewe kwa chuki zenu za kujitoa mhanga uwezi kuelewa
Kumbe waislael wameanza wakata magovi wafislistina zamani ndo maana wameamua wakimbiza kwe nchi yako kabisaMambo mengine ingawa ni ya "kweli" kabisa na ni "imani" ya wengi, lakini inabidi yawe jukwaa hili la utani. Maana mahari ya govi ni zaidi ya utani.