Mahari zingine ni majanga!

Sana tena, ndiyo maana nikafungulia uzi.

Uwache kudanganya, kuwa mkweli wa nafsi yako, usitetee ujinga kwa kudanganya.

Kisa hiki cha magovi kinakufundisha nini? Binafsi naona ni kichekesho tu.
Daudi alimbiwa akakete magovi ya ndugu zako wapalestina ambao atakuwa amewauwa vitani.
 
Ndugu zako pia kwa Adam, au wewe ni jamii ya masokwe?
Nyie waislam si ndugu kwaiyo mkiuawa na wayahudi ili kupeleka ushahidi kwa watawala inabidi tuwakate magovi waume zenu hata sasa hii mbinu bado inatumika sana pale wanapouwa waislam waliovamia ardhi yao.
 
Na hao si ndiyo wanamkataa Yesu. Usisahau hilo.

Cha ajabu nini?? Kwa nini unatumia akili yako dhaifu kujibu hoja na kuanzisha uzi, badala ya kurejea kwanza kwenye Quran ili uone Allah anafundisha nini!?
Allah anakufahamisha hata watu wa machakani waliwakataa Mitume! Sikutegemea mwezi huu unaweza kuanzisha uzi wa magovi; wakti huelewi Madhumuni ya MWENYEZI MUNGU kuleta hilo fundisho! Omba toba!
 
Nna kushangaa sana, hizo aya zinahusiana nini na mahari ya magovi 100?

Nafurahi kuona kuwa umeweka mistari ya Qur'an ambayo unajifunza kutokana nayo lakini aya za magovi mia na magovi mia mbili sijui zinatufunza nini? Unaweza kuelezea?
 
Nna kushangaa sana, hizo aya zinahusiana nini na mahari ya magovi 100?

Nafurahi kuona kuwa umeweka mistari ya Qur'an ambayo unajifunza kutokana nayo lakini aya za magovi mia na magovi mia mbili sijui zinatufunza nini? Unaweza kuelezea?
Acha YESU Kakujibu...!
 
kwa iyo wafilisti walikuwa hawatahiliwi?
 
Hahaha nsiesabu natatizo gani na ntaomba mkwe awe wa kike
"Udini" ndiyo nini?

Hebu be on the lighter side, huoni ufahari kuwa biblia imenichekesha asubuhi asubuhi?

Hivi wewe unaenda kuhesabu, govi la kwanza, pili, tatu, nne... Mpaka 200 kwa mkweo?

Kwi kwimkwimkwi teh teh teh teh. Nimecheka sana .
 
Lengo halikuwa hizo Govi,(mbolo) zije Kama mahali, Sauli alikuwa na Chili na ugomvi na Daudi baada ya kujua kuwa anachukua kiti chake,

Hivyo kumpangia mahali hiyo, ilikuwa aende akauawe na Wafilisti akizitafuta Mb*lo 100 za kutoa mahali.

Mungu alikuwa upande wake akaleta Mb*lo za kutosha na bado hakupewa Binti.

"Mungu akiwa upande wako"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo mfalme alikuwa mchawi. Magovi NI kizimba hatari Sana kwenye uchawi.
 
Huyo mfalme alikuwa mchawi. Magovi NI kizimba hatari Sana kwenye uchawi.
Biblia inasema Hivi...

16 Kila andiko, lenye pumzi ya Mungu, lafaa kwa mafundisho, na kwa kuwaonya watu makosa yao, na kwa kuwaongoza, na kwa kuwaadibisha katika haki;


Kwa.mafundisho hayo ya Timotheo SASA kisa cha magovi kama mahari kinaingia wapi hapo kwenye "pumzi ya Mungu"?

lusungo njoo usaidie jibu.
 
Hata Shetani kaandikwa kwenye Bible. Hata habari za Sodoma na Gomora zimeandikwa kwenye Bible na Quoran pia if we go down to that level.

In the Holy Quoran imeandikwa, siku moja Prophet Muhammad, peace be upon him alienda kumtembelea mtoto wake wa kuasili ( Adopted son ) alieitwa ZAYD IBN HARITHAH, Kwa bahati mbaya au nzuri hakumkuta Zayd ibn HARITHAH Bali alimkuta mke WA Zayd alie itwa ZAYNAB BINT JAHSH.

Kwa bahati mbaya au nzuri ZAYNAB BINT JAHSH hakuwa amevaa mavazi ya kujisitiri . Prophet alipo uona uzuri WA ZAYNAB akapendezwa Sana na akamsifia ZAYNAB Kwa uzuri wake.


Mume WA ZAYNAB alipo rejea nyumbani, ZAYNAB akamsimulia mumewe jinsi Prophet alivyo msifia uzuri wake.

Zayd aliposikia maneno hayo akaenda hadi nyumbani Kwa mtume na kumwambia " MZEE KAMA UMEMPENDA MKE WANGU MIMI NIPO TAYARI KUMTALIKI ILI WEWE UMUOE" Mtume akamwambia " HAPANA MWANANGU USI MTALIKI MKEO".

Zayd aliporejea nyumbani kwake akamtaliki mkewe.

Baadae Mtume akamuoa ZAYNAB BINT JAHSH.

Swali kwako, hivi mtoto WA madrassa anapokuwa anakariri kisa kama hiki anapata mafundisho gani ya kiroho? What is the spiritual significance of this scenario?
 
Alipewa binti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…