Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,974
- 8,750
Cha ajabu nini apo kama sio wivu na roho mbaya?
Watu wakijinafasi kwa furaha zao, wewe tatizo lako nini?Maharusi wa siku hizi pasua kichwa. Kuna wakati unatazama hizo video unabaki kukuuliza hawa maharusi waliwaza nn? Mtu anamsifia mwenza wake mpaka unaona soo aisee. Bora kunyamaza kuliko kusifia vitu vya uongo
Sio Kwa bi harusi huyoWatu wakijinafasi kwa furaha zao, wewe tatizo lako nini?
Achana na huyo singo maza. Amechezea maisha, amezalishwa na watu tofauti sasa anajua haitakuja kutokea akatanya harusi.Cha ajabu nini apo kama sio wivu na roho mbaya?
Sura nzitoooMaharusi wa siku hizi pasua kichwa. Kuna wakati unatazama hizo video unabaki kukuuliza hawa maharusi waliwaza nn? Mtu anamsifia mwenza wake mpaka unaona soo aisee. Bora kunyamaza kuliko kusifia vitu vya uongo
Ndo washafanya harusi yao walivyotaka, kwani harusi yako?Sio Kwa bi harusi huyo
Ujinga ujinga tuNdo washafanya harusi yao walivyotaka, kwani harusi yako?
Unataka kuwapangia watu jinsi ya kufanya harusi zao?
Hapa unaonekana kama mtu mwenye wivu tu.Ujinga ujinga tu
Maharusi wengi siku hizi hamna busara na hizi social media ndo zinawapa kiwewe zaidi.Maharusi wa siku hizi pasua kichwa. Kuna wakati unatazama hizo video unabaki kukuuliza hawa maharusi waliwaza nn? Mtu anamsifia mwenza wake mpaka unaona soo aisee. Bora kunyamaza kuliko kusifia vitu vya uongo
Sura binafsi hiyoMaharusi wa siku hizi pasua kichwa. Kuna wakati unatazama hizo video unabaki kukuuliza hawa maharusi waliwaza nn? Mtu anamsifia mwenza wake mpaka unaona soo aisee. Bora kunyamaza kuliko kusifia vitu vya uongo
Maharusi wa siku hizi pasua kichwa. Kuna wakati unatazama hizo video unabaki kukuuliza hawa maharusi waliwaza nn? Mtu anamsifia mwenza wake mpaka unaona soo aisee. Bora kunyamaza kuliko kusifia vitu vya uongo
Mbona kazuri tu, bado anone kidogo!Sio Kwa bi harusi huyo
Mbona kazuri tu, bado anone kidogo!
Hahaha!Mwanamme A akimchagua mwanamke wa kumuoa, halafu akaja mwanamme mwingine, B, kumsema huyo mwanamke aliyeolewa kuwa si mzuri, kiumeni tunaweza kumuwekea shaka huyo mwanamme B kwamba labda alitaka kuolewa yeye.
Wivu ni sawa na donda ndugu.Maharusi wa siku hizi pasua kichwa. Kuna wakati unatazama hizo video unabaki kukuuliza hawa maharusi waliwaza nn? Mtu anamsifia mwenza wake mpaka unaona soo aisee. Bora kunyamaza kuliko kusifia vitu vya uongo
Maharusi wa siku hizi pasua kichwa. Kuna wakati unatazama hizo video unabaki kukuuliza hawa maharusi waliwaza nn? Mtu anamsifia mwenza wake mpaka unaona soo aisee. Bora kunyamaza kuliko kusifia vitu vya uongo
Eti wanasema ni ex wako kaoa/ kaolewaNi ex kaoa au kaolewa