Maharusi ndani ya viwanja vya Sabasaba

Maharusi ndani ya viwanja vya Sabasaba

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2009
Posts
5,471
Reaction score
752
Katika pita pita yangu pale kwenye viwanja vya saba saba last week nilifanikiwa kuwaona maharusi hawa sasa sijui ndio honey money yenyewe waliamua kumalizia kwenye maonyesho hayo ama vipi?
IMG00534-20100707-1702.jpgIMG00537-20100707-1703.jpg
 
Kimsingi ni watz wachache sana wanajua mantiki ya maonyesho hayo.
 
Yeah nilikuwa muhudhuriaji mzuri sana; mpka nilipomaliza form 4! isitose nilikuwa naweza kuhudhuria karibu siku zote! Nikimbuka sasa najiona nilikuwa juha sana! Sijakwneda since nilipoelevuka!
 
Moja watu waliohojiwa kuhusu kulielewa soko la pmoja la EAC alitoa rai kwa serikali kuwaonyesha watu lilipo soko hilo ili wafanyabiashara wadogo wapelek bidhaa huko wakauze! Huu ni mfano mojawapo tu wa shida kubwa iliyopo kwetu!
 
Duh! Hii kiboko! Mkuu hii ilinipita pembeni,sikuipata. Kataaaariiiii kweeeelikweliii!!!!!!!!
 
Moja watu waliohojiwa kuhusu kulielewa soko la pmoja la EAC alitoa rai kwa serikali kuwaonyesha watu lilipo soko hilo ili wafanyabiashara wadogo wapelek bidhaa huko wakauze! Huu ni mfano mojawapo tu wa shida kubwa iliyopo kwetu!
...Eh!:A S-eek:
 
...Please tell me it is just a Joke..!:A S-eek: :A S-eek:

This is NOT a joke. I saw the guy also. He wanted to know where is this EAC Common Market located? But good thing is he was just one person out of ten or so who were interviewed. The rest were aware that it's an abstract market within the confines of East Africa territorial boundaries.
 
Katika pita pita yangu pale kwenye viwanja vya saba saba last week nilifanikiwa kuwaona maharusi hawa sasa sijui ndio honey money yenyewe waliamua kumalizia kwenye maonyesho hayo ama vipi?
View attachment 11737View attachment 11738

Nimekumbuka!! Baada ya kumuona Jamaa kadhaa wametinga T-shirts za Nokia!!! kuwa kuna kipindi fulani Kampuni ya Nokia iliendesha
shindano kuubwa la Harusi (Wedding of dream) hapa Dar,Nadhani hawa ni washindi wake... Na hii ni baada ya sherehe ya kukata na Mundu Sea Cliff Hotel... Duh JOB TRUE TRUE!!!
 
Moja watu waliohojiwa kuhusu kulielewa soko la pmoja la EAC alitoa rai kwa serikali kuwaonyesha watu lilipo soko hilo ili wafanyabiashara wadogo wapelek bidhaa huko wakauze! Huu ni mfano mojawapo tu wa shida kubwa iliyopo kwetu!

Kwi kwi kwi uwiii mbavu zangu zinauma!!!
 
Back
Top Bottom