Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 752
Kimsingi ni watz wachache sana wanajua mantiki ya maonyesho hayo.
Duh! Hii kiboko! Mkuu hii ilinipita pembeni,sikuipata. Kataaaariiiii kweeeelikweliii!!!!!!!!Moja watu waliohojiwa kuhusu kulielewa soko la pmoja la EAC alitoa rai kwa serikali kuwaonyesha watu lilipo soko hilo ili wafanyabiashara wadogo wapelek bidhaa huko wakauze! Huu ni mfano mojawapo tu wa shida kubwa iliyopo kwetu!
...Eh!:A S-eek:Moja watu waliohojiwa kuhusu kulielewa soko la pmoja la EAC alitoa rai kwa serikali kuwaonyesha watu lilipo soko hilo ili wafanyabiashara wadogo wapelek bidhaa huko wakauze! Huu ni mfano mojawapo tu wa shida kubwa iliyopo kwetu!
Moja watu waliohojiwa kuhusu kulielewa soko la pmoja la EAC alitoa rai kwa serikali kuwaonyesha watu lilipo soko hilo ili wafanyabiashara wadogo wapelek bidhaa huko wakauze! Huu ni mfano mojawapo tu wa shida kubwa iliyopo kwetu!
This is NOT a joke. I saw the guy also. He wanted to know where is this EAC Common Market located? But good thing is he was just one person out of ten or so who were interviewed. The rest were aware that it's an abstract market within the confines of East Africa territorial boundaries....Please tell me it is just a Joke..!:A S-eek: :A S-eek:
Katika pita pita yangu pale kwenye viwanja vya saba saba last week nilifanikiwa kuwaona maharusi hawa sasa sijui ndio honey money yenyewe waliamua kumalizia kwenye maonyesho hayo ama vipi?
View attachment 11737View attachment 11738
Moja watu waliohojiwa kuhusu kulielewa soko la pmoja la EAC alitoa rai kwa serikali kuwaonyesha watu lilipo soko hilo ili wafanyabiashara wadogo wapelek bidhaa huko wakauze! Huu ni mfano mojawapo tu wa shida kubwa iliyopo kwetu!