Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Voice...Umeeleza vema. Asante kwa historia.
1. Swali. Mzee Kondo alikueleza kuwa Alimtorosha Nyerere kutumia gari la taka. Sasa kwanini hukumuhoji alimpeleka wapi?
2. Ni nani hao walimfitini Kambona dhidi ya Nyerere?
3. Mke wa Nyerere yuko hai na kwa asilimia kubwa naamini ana maelezo ya kina ya tukio hili. Kama mtafiti umechukua hatua gani kumhoji?
4. Nyerere alitoroka na nani siku hiyo? Alitoroka na familia yake? Kama sivyo, familia yake ilikuwa wapi kwa hizo siku 3?
Bush...Nakukubali sana Mohamed......hii clip nitaipitia baadae
Bush...Asante kw akutuhabrisha matukio muhimu ktk historia.
Historia inatabia ya kujitudia rudia ndio maana tunaisoma.