Mahawara wasali mvua inyeshe kesho madaraja yakatike watu wakose kwenda kwao!!

Mahawara wasali mvua inyeshe kesho madaraja yakatike watu wakose kwenda kwao!!

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Habari zinasema kuna kundi la mabinti wezi wa waume za watu wameomba mchana huu maombi rasmi mungu kushusha mvua kesho ati madaraja yakatike watu walalale lodge
nanyi nawapa happynyu yia
 
Habari zinasema kuna kundi la mabinti wezi wa waume za watu wameomba mchana huu maombi rasmi mungu kushusha mvua kesho ati madaraja yakatike watu walalale lodge
nanyi nawapa happynyu yia

jf never boring (the boss)
 
Habari zinasema kuna kundi la mabinti wezi wa waume za watu wameomba mchana huu maombi rasmi mungu kushusha mvua kesho ati madaraja yakatike watu walalale lodge
nanyi nawapa happynyu yia

Hata mimi naomba mimi naomba inyeshe tena nilale guest
 
eeeehhhhh mmezibadili na jina ndio maana majuzi kuna mtu nampeleka kwao sinz anasema kamwe unaoona hii geti nkamwambia ndo akasema mwaka jana iliandikwa sskuma hapa ,,mwaka huu wameandika ingia mwenyewe ..aisee ukisoma ni kweli ila ndani naambiwa lodge kazi ipo 2012 wamiliki mtaiitaje jamani
 
Hao mahawara wanaoomba mvua ni wanawake au wanaume?
Yaani Mume/mke wa mtu akatikiwe na daraja ulale naye nyumba ya wageni??
Kwani hao mahawara huko wanakokaa hakuna madaraja?
Au wao hawahitaji kwenda nyumbani kuona watoto wao waliowaacha na wasichana wa kazi??
Angalia usije ukachukua hawara ukakutana katika guest hiyo hiyo na mkewe/mumewe!
Mimi simo
 
Back
Top Bottom