Msitari wa pambizo
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 3,098
- 5,451
NawasubiriHongera Mkuu , subiri wataalam wanakuja hivi punde
Ahsante sana kwa kunitia moyoSoko la ufuta always lipo! Huu sio kama mahindi au mbaazi.
Mkuu tujuzane ulipataje shamba huko?Wakuu kwanza salamu ndiyo utanzania wenyewe... Popote ulipo nakusalimu.
Back to the topic
Kwa wenyeji wa Mahenge wilaya ya Ulanga mkoa wa Morogoro naomba mnisaidie hii kwa mtu mwenye experience. Nimepata shamba kijiji cja CHIKUTI kilichopo nje kidogo ya Mahenge mjini, kuna mtu amenishauri kwamba nilime ufuta kwaba una kubali sana maeneo hayo. Nikaona si vibaya nije kuongezea maarifa humu hasa kwa wenye uzoefu na eneo hilo na upatikanaji wa soko ukoje...
Karibuni sana
Yanatolewa na serkali a kijijiMkuu tujuzane ulipataje shamba huko?
Yanatolewa kivipi?Yanatolewa na serkali a kijiji
YanauzwaYanatolewa kivipi?
Bei ganiYanauzwa
Wakuu kwanza salamu ndiyo utanzania wenyewe... Popote ulipo nakusalimu.