Chief Kabikula
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 7,564
- 9,043
Sure I tell ,mzee Mwinyi ndio anayemuunga mkono Jpm hata katika mambo aliyovurunda kabisa yet anamwambia uko sawa.Dah,
kama kweli vile.
Sio lazima kumaliza miaka 10 Zanzibar ndiyo maana Zanzibar wana marais wengi sanaRais mstaafuAlly Hassan Mwinyi katika kikao Cha mkutano mkuu wa ccm leo amesema kuwa katiba lazima ihedhimiwe lakini rais Jpm aongezewe muda wa miaka mitano ya asante kwanza halafu utaratibu wa miaka kumi utarudishwa kwa Marais watakaofuata.Mahesabu Yake haya hapa ,Jpm akiongezewa miaka mitano maana yake mwansye atakuwa katimiza miaka kumi kama rais wa Zanzibar , hivyo Jpm akimsoiza muda wake huo was nyongeza atamwachia kijiyi cha urais mwanaye Hussein Mwinyi ambaye tayari ataonekana ana uzoefu wa miaka kumi.Mahesabu Makali ya mzee Mwinyi ndio haya.
Kwani mwinyi mdogo anatokea wapi?hivi mtu kutoka bara aliwahi kuwa rais zanzibar??maana najua bara ishapata marais kutoka zenji
Anaanza Hussein Mwinyi huyo kazaliwa bara , yaani hata katiba ya Zanzibar Imevunjwa openly ,mgombea urais anatakiwa awe amezaliwa Zanzibar.hivi mtu kutoka bara aliwahi kuwa rais zanzibar??maana najua bara ishapata marais kutoka zenji
Huyo ni mzaliwa wa bara hata kura 35 za Zanzibar hajapata hata moja kapata kura 129 za watu wa bara.Kwani mwinyi mdogo anatokea wapi?
Seif mzee wa ShikamooMwinyi hawamtaki kabisa wazanzibari..... Rais ni SEIF
Mzee hajali madhila yanayowapata watanzania kutokana na utawala huu yeye anaangalia familia yake tu.Mzee anacheza na fursa kumuweka mwanae pazuri zaidi.
Kwao mkuranga hukoKwani mwinyi mdogo anatokea wapi?
Mungu nI wa tofauti sana watoto wadogo wanafariki kila siku lakini hili zee, bado linakomaa kuishi licha ya mungu kuweka limit 70.Rais mstaafuAlly Hassan Mwinyi katika kikao Cha mkutano mkuu wa ccm leo amesema kuwa katiba lazima ihedhimiwe lakini rais Jpm aongezewe muda wa miaka mitano ya asante kwanza halafu utaratibu wa miaka kumi utarudishwa kwa Marais watakaofuata.Mahesabu Yake haya hapa ,Jpm akiongezewa miaka mitano maana yake mwansye atakuwa katimiza miaka kumi kama rais wa Zanzibar , hivyo Jpm akimsoiza muda wake huo was nyongeza atamwachia kijiyi cha urais mwanaye Hussein Mwinyi ambaye tayari ataonekana ana uzoefu wa miaka kumi.Mahesabu Makali ya mzee Mwinyi ndio haya.