Mahesabu makali ya Rais mstaafu Ally Hassan Mwinyi

SIO MCHEZO KAMANDA UMEONA MBALI KWA DARUBINI KALI
 
Kwani inaruhusiwa, uwe rais Zanzibar tena uje bara ugombee urais?
 
Anazeeka vibaya , kama anataka kutoa asante basi amualike nyumbani kwake na mama yake Hussein ampikie pilau!! Mambo ya nchi sio ya kupeana asante bali yanafuata Katiba ya nchi iliyoridhiwa na wananchi yenyewe na sio mambo ya mchezo mchezo!!!
kwake Kila kitu ruksa
 
Mungu nI wa tofauti sana watoto wadogo wanafariki kila siku lakini hili zee, bado linakomaa kuishi licha ya mungu kuweka limit 70.

Zee bishi kama ninini

Astaghfirullah, Mungu akusamehe kwa kauli yako. Hata kama unamchukia au kakukera usimwombee Mzazi wa mwenzio kifo jamani. That's not cool.
 
Huyu Mzee mwinyi ni punguani kweli kweli, tena huyu mzee na yeye pia alikuwaga Rais !!! Akili zenyewe za kufikiri ndio kama hizi.. kweli hii nchi ilipita kwenye mikono ya hovyo kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…