Mahimbo azomewa Sinza

marandu2010

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2010
Posts
1,201
Reaction score
446
huko sinza jana tu katika baa fulani,,yule anayedai kuibiwa mke na dr slaa,,amezomewa na hata kunusurika kupokea kipigo,,,kujinusuru ilibidi atoke spidi maeneo hayo,,,nimeamini watanzania wamepanuka kimawazo mweee,,hawako tayari kuvumilia upumbavu,,,safi sana wananchi..
 
Tena anabahati zake. Mkuu sema vizuri sasa, ilikuwaje yaani?
 
,,,nimeamini watanzania wamepanuka kimawazo mweee,,hawako tayari kuvumilia upumbavu,,,safi sana wananchi..
Huu ni ujinga Mkuu, yaani watu kutaka kujichukulia sheria mikononi na uvunjifu wa amani ni "kupanuka kimawazo?"
Pana tatizo gani kwa Mahimbo ambaye ugomvi wake ni wa mtu mwingine tena kaupeleka kwenye vyombo vya sheria....tena watu wanawashwa na nini?
Any way, stori yenyewe ipo ipo tu, I hope ni udaku tu!

 

ni ngumu sana kukaa na wanaume wakati una kashfa ya kukimbiwa na mke.

sorry for him
 
jamaa si katumwa na chama fulani amchafue mkombozi...sasa unategemea nini ikiwa mtu wa namna hii anakutana na watu wenye akili timamu??
 
salamu kwa makamba na kinana,bado wao,siku zao zinahesabika
 

Nakuheshimu mkuu, hata mimi ningependa haya yasingetokea! Lakini ukiangalia kwa undani, haikuanzia kwake. Vibaka wanauwawa kilasiku kwa namna hii. Mimi natafsiri kuwa ni matokeo ya serikali za nchi hii kufumbia macho kwa ujumla suala la utawala wa haki na sheria. Wanauzungumzia tu pale inapowagusa. Na hizi ni dalili za kupotea kwa amani ambayo tunajidai tunayo. Ilishapotea muda mrefu sana. Kigogo akiibiwa ndipo wezi wanapatikana. Wakati mwingine wote ni matukio ya kawaida. Kweli Slaa ana kazi kubwa kurekebisha uozo uliosababishwa na CCM.
 

cuf, cuf cuf cuf cuf cuf cuf cuf cuf i hate it!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 



hata kuchakachua matokeo na kutumia jeshi ni kujichukulia sheria mikononi, ningekuwepo ningemchapa ngumi au ningemtia dole la mk....ndu.
 
Amejiingiza kwenye siasa za CCM ambazo hajui baada ya uchaguzi hawatakuwa naye. Ni vyema achukue chake mapema kabla CCM haijamtelekeza kwani hiyo kesi yake itatupwa hivi karibuni kwa sababu hakuna fidia ya kuvunjika kwa ndoa kwenye sheria zetu.

Mpeni kifungu cha 65(c) cha sheria ya ndoa ili atoe matongotongo yaliyokithiri machoni pake
 
hata kuchakachua matokeo na kutumia jeshi ni kujichukulia sheria mikononi, ningekuwepo ningemchapa ngumi au ningemtia dole la mk....ndu.

kwa kauli hizi wanamageuzi tumekwisha!!!!
 
Bwana Jinius
watu wote wanaotumiwa na watu wengine kuhujumu mamilioni ya wananchi unategema watanusurika? wenye nchi wamekasirika!
Wewe kumtetea eti amepeleka sijui nini ktk mahakama ni unjinga na wewe wajua hilo.... .. si unyamaze tu usiajianike? kwani lazima u comment?

Lakini tungependa kujua mambo yalivyokuwa, tafadhaali mleta hoja tumegee kwa undani zaidi!
 

And what if it's not udaku?


Sent from my HTC Desire using Tapatalk
 
Ata angepigwa mawe sawa tuu bse anatudhalilisha wanaume 2 years hauko na mkeo na mbaya zaidi umewekwa ndani na mjimama alafu unataka mke wako.
 
kwa mtu aliyekuwa anafuatilia uchaguzi wa USA atakuwa anamjua joe the plumber
nataka nimfananishe na mahimbo. Huyu mahimbo karubuniwa kwa kitu kidogo sana,angekausha baada ya oct 31 hata yy angekuwa anatembelea makazi mapya ya Slaa kuwaona wanae lakini sasa KAJIHARIBIA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…