Mahindi kilo 100 inaweza kuzalisha sembe kilo ngapi?

Mahindi kilo 100 inaweza kuzalisha sembe kilo ngapi?

Mkuu inategemeana na Aina ya mahindi na mbegu iliyotumika,maana Kuna mahindi hua yanatoa pumba nyingi Sana Hadi kua Kama hasara ukisaga sembe na hayo hua Ni Bora Sana ukifanya Dona......

Hivyo muhimu kujua ubora wa mahindi unayotumia na epuka Sana kutumia mahindi mapya maana yanakata Sana kilo ndugu!!
 
Back
Top Bottom