Mahindi ni chakula cha ng'ombe

Mahindi ni chakula cha ng'ombe

Nyamuleha jr

Senior Member
Joined
Feb 20, 2013
Posts
185
Reaction score
65
Marekani inazalisha kwakiasi kikubwa mahindi asilimia 40% ya mahindi yote duniani yanalimwa marekani kuna corn belt michigan,illinois,kentucky na kwingineko matumizi makubwa ya zao hili ni kwa ajili ya kulishia mifugo, 80% kulishia mifugo 20% iliyobaki ni kwaajili ya matumizi ya nishati (fuel) inatengeneza gas aina ya ethanol na pia kwaajili ya export kwenye nchi maskini zao hili hutumika sana kwenye nchi maskini kama chakula cha binaadamu niliwahi kusikia kuwa utumiaji mkubwa wa nafaka za maindi hudhoofisha mfumo wa akili na akili huwa pumbafu pumbafu na mtu huwa nauwezo mdogo wa kung'amua mambo
 
Back
Top Bottom