MPUNGA MMOJA
JF-Expert Member
- May 30, 2015
- 304
- 401
Kilimo cha Mahindi kinashika zaidi ya 55%,ya vilimo vyote nchini, Mahindi yanalimwa karibu nchi nzima.
Soko la mahindi nchini limekua la utani sana hasa msimu wa 2020/21 mpaka sasa bei kwa gunia la serikali la mahindi kwa Mikoa inayozalisha kwa wingi kama, Ruvuma,Rukwa na Mbeya ni TSH 24,000 mpaka 30,000.
Soko la mahindi limekosa uhakika kwa miaka mingi nchini pamoja kuwa ndio zao linalolimwa kwa wingi zaidi nchini.