MPUNGA MMOJA
JF-Expert Member
- May 30, 2015
- 304
- 401
Nini kifanyikeKilimo cha Mahindi kinashika zaidi ya 55%,ya vilimo vyote nchini, Mahindi yanalimwa karibu nchi nzima.
Soko la mahindi nchini limekua la utani sana hasa msimu wa 2020/21 mpaka sasa bei kwa gunia la serikali la mahindi kwa Mikoa inayozalisha kwa wingi kama, Ruvuma,Rukwa na Mbeya ni TSH 24,000 mpaka 30,000.
Akijibu hili nitagNini kifanyike
Mbeya Inya na Matowe Rukwanipe connection huko kwa gunia 24k nichukue gunia kadhaa
80% ya Watanzania wanaishi kwa Kutegemea Kilimo Kama njia pekee ya uzalishaji, labda kama unazungumzia kutajirika kupitia kilimoKuishi Kwa kutegemea kilimo Kwa hapa bongo inahtaj uondoe nati moja ya akili kichwani
Mahindi yakibaki kutumika kwa ugali tu hayatapanda bei.Wakulima wabuni matumizi mengine ya mahindi kama chakula cha mifugo nk.Kilimo cha Mahindi kinashika zaidi ya 55%,ya vilimo vyote nchini, Mahindi yanalimwa karibu nchi nzima.
Soko la mahindi nchini limekua la utani sana hasa msimu wa 2020/21 mpaka sasa bei kwa gunia la serikali la mahindi kwa Mikoa inayozalisha kwa wingi kama, Ruvuma,Rukwa na Mbeya ni TSH 24,000 mpaka 30,000.
Soko la mahindi limekosa uhakika kwa miaka mingi nchini pamoja kuwa ndio zao linalolimwa kwa wingi zaidi nchini.
Siyo kweli Mkuu,; maisha ya watanzania wengi yanategea kilimo asilimia 100. Hao wote wameondoa nut? Hii ni sweeping statementKuishi Kwa kutegemea kilimo Kwa hapa bongo inahtaj uondoe nati moja ya akili kichwani
Utajiri ni upi? Wakulima matajiri wengi Sana tu. Unataka kusema hiyo asilimia 80 ni maaikini. Wakulima wengi, wanamiliki milioni 40 kwenda juu na katika maeneo yao wanatajwa kuwa matajiri. Utajiri ni relative, hauna measurements. Jamii inayokuzunguka ndiyo inaamua wewe tajiri au maskini.80% ya Watanzania wanaishi kwa Kutegemea Kilimo Kama njia pekee ya uzalishaji, labda kama unazungumzia kutajirika kupitia kilimo
Ili yaozeWakulima wafiche mahindi yao
Hii sio capitalism mindset ni mindset ya kijamaaTatizo lenu wafanyabiashara mnataka faida sana..uwepo wa mahindi kwa wingi na kwabei nafuu ni jambo jema..hii kuonyesha hakutakua na tatizo la njaa nchini....pia kama unaona mahindi jau badili biashara.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app