J Johnny Sack JF-Expert Member Joined Jan 21, 2017 Posts 8,984 Reaction score 19,288 Apr 23, 2023 #1 Wakuu kuna tani 32 za mahindi zinauzwa, bei itategemea na sehemu ulipo maana nakuletea, ama ukiamua kuyafuata mwenye pia sawa Kwa maelezo na mawasiliano zaidi nicheki inbox
Wakuu kuna tani 32 za mahindi zinauzwa, bei itategemea na sehemu ulipo maana nakuletea, ama ukiamua kuyafuata mwenye pia sawa Kwa maelezo na mawasiliano zaidi nicheki inbox
changaule JF-Expert Member Joined Jan 10, 2020 Posts 6,039 Reaction score 10,151 May 8, 2023 #3 Ulipaswa kwanza wewe useme mahindi yalipo ni mkoa gani, wilaya gani, kata gani na mtaa gani.
Per Diem JF-Expert Member Joined Mar 28, 2018 Posts 2,189 Reaction score 3,724 May 8, 2023 #4 Yana wadudu hayo
M MZAWA JF JF-Expert Member Joined Apr 4, 2014 Posts 4,491 Reaction score 3,996 May 9, 2023 #5 Johnny Sack said: Wakuu kuna tani 32 za mahindi zinauzwa, bei itategemea na sehemu ulipo maana nakuletea, ama ukiamua kuyafuata mwenye pia sawa Kwa maelezo na mawasiliano zaidi nicheki inbox Click to expand... Wee jamaa mbona umeukimbia uzi wako?
Johnny Sack said: Wakuu kuna tani 32 za mahindi zinauzwa, bei itategemea na sehemu ulipo maana nakuletea, ama ukiamua kuyafuata mwenye pia sawa Kwa maelezo na mawasiliano zaidi nicheki inbox Click to expand... Wee jamaa mbona umeukimbia uzi wako?
J Johnny Sack JF-Expert Member Joined Jan 21, 2017 Posts 8,984 Reaction score 19,288 May 9, 2023 Thread starter #6 MZAWA JF said: Wee jamaa mbona umeukimbia uzi wako? Click to expand... Biashara ishafanyika kitambo...watu wenye nia walikuja inbox
MZAWA JF said: Wee jamaa mbona umeukimbia uzi wako? Click to expand... Biashara ishafanyika kitambo...watu wenye nia walikuja inbox
M MZAWA JF JF-Expert Member Joined Apr 4, 2014 Posts 4,491 Reaction score 3,996 May 9, 2023 #7 Johnny Sack said: Biashara ishafanyika kitambo...watu wenye nia walikuja inbox Click to expand... Ok poa
Johnny Sack said: Biashara ishafanyika kitambo...watu wenye nia walikuja inbox Click to expand... Ok poa