Mahindi ya kuchoma yanafaa

Mahindi ya kuchoma yanafaa

Shooter Again

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
5,603
Reaction score
9,263
Wanajamvi naomba kuuliza mahindi ya kuchoma yanafaa Kwa mgonjwa wa vidonda vya tumbo maana nataseka sana aisee kupata fast food nikiwa mbali na nyumbani
 
Kwahiyo unakula mahindi ya kuchoma kama lunch?
 
Back
Top Bottom