Shooter Again JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 5,603 Reaction score 9,263 Jun 11, 2024 #1 Wanajamvi naomba kuuliza mahindi ya kuchoma yanafaa Kwa mgonjwa wa vidonda vya tumbo maana nataseka sana aisee kupata fast food nikiwa mbali na nyumbani
Wanajamvi naomba kuuliza mahindi ya kuchoma yanafaa Kwa mgonjwa wa vidonda vya tumbo maana nataseka sana aisee kupata fast food nikiwa mbali na nyumbani
Lavit JF-Expert Member Joined May 16, 2011 Posts 14,834 Reaction score 32,522 Jun 11, 2024 #2 Kwahiyo unakula mahindi ya kuchoma kama lunch?
Shooter Again JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 5,603 Reaction score 9,263 Jun 11, 2024 Thread starter #3 Lavit said: Kwahiyo unakula mahindi ya kuchoma kama lunch? Click to expand... Hapana kutafuna tu ndio maana nimeuliza mgonjwa wa vidonda vya tumbo yanafaa
Lavit said: Kwahiyo unakula mahindi ya kuchoma kama lunch? Click to expand... Hapana kutafuna tu ndio maana nimeuliza mgonjwa wa vidonda vya tumbo yanafaa