saidoo25
JF-Expert Member
- Jul 4, 2022
- 624
- 1,456
ZOEZI la ugawaji wa mahindi ya msaada limeonekana kulalamikiwa sana na wananchi wengi hasa wa vijiji walilaumu mfumo wa kuyafuata mahindi hayo ama makao makuu ya wilaya au makao makuu ya Kata na kukutana na urasimu mkubwa.
Miongoni mwa mambo ya ajabu yanayonekana Bei ya mahindi ni Sh 800 kwa kilo lakini inaonekana wafanyabishara wakubwa wameingilia kati na kununua mahindi hayo na kusafirisha kwenda kwenye masoko makubwa ya maeneo ya mijini.
Mambo haya ya vyakula vya misaada na mbolea za ruzuku yasipoangaliwa kwa mapana yake yanakwenda kuichafua Serikali kwa kiasi kikubwa sana.