bashe ndiye aliyepewa jukumu la kuratibu vizuri ugawaji wa chakula kama yeye hafuatilii alaumiwe nani haya mambo ya vyakula vya misaada ndio maana JPM aliyakataa kwa sababu alijua sio msaada kwa masikini kama inavyosemwaSasa mleta mada unataka Bashe awepo kila Kijiji? Kwann maichukue hatua kwa kila anayehujumu juhudi za serikali?
Bashe yawezekana katimiza jukumu lake vema lkn kuna wahuni wachache wanaharibu zoezi. Tunapaswa kumsaidia kwa kutimiza wajibu wetu.bashe ndiye aliyepewa jukumu la kuratibu vizuri ugawaji wa chakula kama yeye hafuatilii alaumiwe nani haya mambo ya vyakula vya misaada ndio maana JPM aliyakataa kwa sababu alijua sio msaada kwa masikini kama inavyosemwa
wapi huko mkuu wanakogawa mahindi?ZOEZI la ugawaji wa mahindi ya msaada limeonekana kulalamikiwa sana na wananchi wengi hasa wa vijiji walilaumu mfumo wa kuyafuata mahindi hayo ama makao makuu ya wilaya au makao makuu ya Kata na kukutana na urasimu mkubwa.
Miongoni mwa mambo ya ajabu yanayonekana Bei ya mahindi ni Sh 800 kwa kilo lakini inaonekana wafanyabishara wakubwa wameingilia kati na kununua mahindi hayo na kusafirisha kwenda kwenye masoko makubwa ya maeneo ya mijini.
Mambo haya ya vyakula vya misaada na mbolea za ruzuku yasipoangaliwa kwa mapana yake yanakwenda kuichafua Serikali kwa kiasi kikubwa sana.
Serikali ijichafue mara ngapi kwa tunaojitambua 2025.ZOEZI la ugawaji wa mahindi ya msaada limeonekana kulalamikiwa sana na wananchi wengi hasa wa vijiji walilaumu mfumo wa kuyafuata mahindi hayo ama makao makuu ya wilaya au makao makuu ya Kata na kukutana na urasimu mkubwa.
Miongoni mwa mambo ya ajabu yanayonekana Bei ya mahindi ni Sh 800 kwa kilo lakini inaonekana wafanyabishara wakubwa wameingilia kati na kununua mahindi hayo na kusafirisha kwenda kwenye masoko makubwa ya maeneo ya mijini.
Mambo haya ya vyakula vya misaada na mbolea za ruzuku yasipoangaliwa kwa mapana yake yanakwenda kuichafua Serikali kwa kiasi kikubwa sana.
2023 kila kitu kitakuwa waziSerikali ijichafue mara ngapi kwa tunaojitambua 2025.