Mahindi yanauzwa; Yapo Songea ni zaidi ya gunia 5000

kidu27

Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
21
Reaction score
0
Kwa wafanyabiashara mahindi yanapatikana songea yamekusanywa pamoja tayari kwa kuuza yapo zaidi ya gunia 1000 kwa mteja ambaye yupo tayari ajitokeze tuweze kupanga biashara ukusanyaji utakapo kamilika inategemewa kuwa na magunia yasiyopungua 5000 mnunuzi atakayekuwa tayari anakaribishwa sana asanteni.
 
Yapo namatuhi mengine matimira bei sh500 kilo
 
Mkuu 300 ni bei lakini kwa gharama ya uzalishaji kwa mkulima hailipi na kumbuka hapa unajkuta mzigo wote pamoja umekusanywa
 
Mkuu 300 ni bei lakini kwa gharama ya uzalishaji kwa mkulima hailipi na kumbuka hapa unajkuta mzigo wote pamoja umekusanywa
Mkuu kidu27 naomba kuuliza wastani wa uzito wa gunia la mahindi la debe sita yaliyokauka vizuri ni kilo ngapi?
 
Inategemeana kama mahindi yako yalishiba mbolea vizuri inakuwa kilo 120
 
Yapo namatuhi mengine matimira bei sh500 kilo
Mkuu kwa Songea ambako mahindi ni mengi hiyo bei ni kubwa sana. Pale Manzese darajani njia ya tandale wanauza kilo kwa Tshs 575/=, shuka bei mkuu
 
Tatizo sio songea kuwa na mahindi mengi ila ni kuwa na bei itakayokuwezesha kurudisha gharama ya uzalishaji, ila usijali biashara ni mazungumzo ww unahitaji kwa bei
Gani?
 
Tunasubir yashuke tuje shamba wenyew na ivi malori ya kusafirisha kupelek Kenya yamerudishw na mizigo yatafika mpk 3000 kwa debe.
 
mbona huzifanyii kazi pm? nmekucheck jana mpaka leo kimya
 
Jamani nauza Nyumba Songea ipo Mkuzo karibu na msamala bei ni maelewano.
Nipigie 0756 303344
Karibu tufanye biashara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…