Hamidu Mindu
Member
- Apr 14, 2017
- 38
- 27
460/kg mahindi lete Mzigo mkuu, ManzeseMAHINDI yanauzwa Tsh 470/kg
Ziko tani 400
Mzigo unapatikana tabata- Dar es salaam.
MAGUNIA yaliyotumika mara 1 yanauzwa.
Yako 2200
Bei kwa gunia 1 ni tsh 2500
Magunia yanapatikana tabata- Dar es salaam .
GODOWN lenye eneo la 550sqm linakodishwa
Bei $5/sqm/month
Muda wa Kukodi kuanzia miezi 6.
Godown liko tabata -Dar es salaam.
UFUTA unahitajika tani 500
Bei ya kununulia ni tsh 2200
Dar es salaam.
Mawasiliano : 0652601602
Mzigo uko tabata kaka, lakini pia siwezi kuleta kabla maelewano460/kg mahindi lete Mzigo mkuu, Manzese
Poa Mkuu ntakupigia saa 5, tuongee vizuri,Ila si unaweza leta Leo?Mzigo uko tabata kaka, lakini pia siwezi kuleta kabla maelewano
Angesema anauza 360/= ungemwambia afanye 200/=Mahindi kwa kila kilogram fanya 360
Haiwezekani kaka. Maslahi hakuna hapoMahindi kwa kila kilogram fanya 360
Nashukuru umeliona hiloAngesema anauza 360/= ungemwambia afanye 200/=
Maelewano katika malipo ndio utakua muongozo ila mzigo upo hata ukihitaji sasa hiviPoa Mkuu ntakupigia saa 5, tuongee vizuri,Ila si unaweza leta Leo?