MAHINGILA of BRELA: Another dodgy CEO

hivi hii thread ilikuwa na shughuli....
 
JF XXL

nasikia sasa Nyaga Mawalla yupo mikononi mwa vyombo vya sheria ... juu ya shauri la pesa chafu ....?
 
Last edited by a moderator:
rudisheni kwenye siasa hii

huyu naye inabidi angoke

kashindwa kazi huyu
 
Ku register kampuni lazima ufanye KYC mimi nakubaliana na Brela lazima wajipe muda wa kufuatilia hao wanaosajili kama ni watu wa maana.

Hii ya kuona kila kampuni online itasaidia sana especially kwa mabenki ambayo yanapigwa pigwa na makampuni hewa, na ukienda BRELA unalipia lakini hupati kitu chochote maana ku search inabidi waende wakatafute mafaili store kwenye mavumbi. Tena naomba waweke na signature na Physical address za hizi kampuni na wajitahidi kila kunapotokea changeza za ma directors wawe wana update na kusema ni kutokea lini huyo mtu aliyepita alikoma kuwa Director na mtu mpya ameanza na mgawanyo wa shares kama umebadilika uwe wazi.

Big up BRELA
 
Huyu Mahingila bado hajafukuzwa kweli? Mods tunaomba upeleke huu uzi jukwaa la siasa ili tumshtuee waziri aliyelala aondoe uchafu uliopo kwenye wizara husika.
 

Wanaweza kutunza both hard copy na vile vile ku scan kuweka kwenye website.
 
Nimeona majina ya KIASIA HAPO JUU...hawa ndo wanaoharibu mpango mzima...wahindi ndo friends wa Brela pale Rushwa ni kama Jadi....WAHINDI WANASAJILI KAMPUNI KWA MASAA 2 TUU....halafu sisi tunafavywa mapoyoyo....rregistration ya business name tuu wiki nzima....wabomoe kile kitengo kama WALIVYO DEMOLISH JENGO LA USHIRIKA.
 
aise mkuu nimekukubali.....unachosema ni UKWELI USIO NA SHAKA,Mimi nawafahamu hawa...upo sahihi salute kwako
 
Doggy CEO is an understatement!! you gotta find a better name for a guy aliyesajili makampuni kibao yaliyofisadi pesa za EPA; the Kagodas etc ..etc.. wakati wakurugenzi wake hawajulikani na rekodi za makampuni hayo hazipo Brela and therefore flimsy excuses kwa serikali ya CCM kutowachukulia hatua za kisheria mabaradhuli hao!

Udhaifu wa mifumo yetu ya utawala na roho za kifisadi na umimi za watendaji wetu wengi from top to bottom zinalipeleka taifa hili kubaya! we need a Kagame here for say 10 years ili watanzania akili ziturudie tuanze kuwatumikia wananchi badala ya matumbo yetu peke yake.
 
huyo jamaa wa Brella +EL+Jamaa wa EWURA+Mkurugenzi TISS=Classmates Mirambo secondary (high School).
I wonder walisoma nini enzi hizo. Big shadows of corruption.

Kwa maana hiyo Mawala wapo Arusha, EL yupo Arusha, washikaji wengine (classmates) wapo Dar, hivyo EL kachora ramani safi kwa kutumia Mawalla ili wazichote ziingie CCM?
 
hili ni jipu na wanatuchelewesha na urasimu
Tangu lini ku search for simple info watu wakafanya registration? wanataka namba za sim, majina na verification ndio naweza kusearch business name online

Imagine google wakwambie kuwa kabla hujafanya search lazima uweke namba zako za sim majina yako nk ndio utaweza kufanya business name search...ontop unalipishwa elf 20

ningekuwa na register kampuni au nafanya returns au nabadili jina la kampuni I would have understood the concept of registration na kuweka personal details zangu

MFANO HUU HAPA CHINI NIMEINGIA KWENYE WEBSITE YA SEC YA USA AMBAYO UNAWEZA KU SEARCH MAJINA YA KAMPUNI ZOZOTE BILA KUAMBIWA UWEKE PRIVATE INFO

USHAHIDI HUUU HAPA:

http://www.sec.gov/edgar/searchedgar/companysearch.html
 
Ukweli ni kwamba E.Mahingila amekwisha staafu kwa mujibu wa sheria ya utumishi wa umma kama sijakosea 2012/2013.
Kuanzia kati kati ya mwaka 2014 BRELA ilipata CEO mpya tena kijana; ambaye kwa kweli anapambana sana kurahisha upatikanaji wa huduma kwa urahisi na mambo mengi yatafanyika online.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…