Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Wewe utaishi milele?πππ Dogo anachokitafuta atakipata muda si mrefu..
Yaani vijana wa hovyo wa uvvccm huhisi wao ndio Wana hati miliki ya taifa hili la Tanzania. Yaani ilimradi upumbavu TU.Wewe utaishi milele?
Kwamba kura za Polisi na familia ndo za ushindi siyo?? Hili Taifa limezalisha Mazuzu wengi sana.Chadema hawajui.kutafuta wapiga kura au kuungwa mkono na Polisi na familia zao
Wana siasa za kijinga mno
Chama cha siasa kazi yake kubwa mojawapo ni.kutafuta uungwaji mkono na makundi .mbalimbali wakiwemo polisi na familia zao
Chadema hopeless kabisa