Mahitaji ya kamera kwa majumbani na ofisini

laurentie

Senior Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
100
Reaction score
77
Kwa usalama wa nyumbani na usalama wa ofisi yako Black Horse Africa tupo kwaajili yako. Tuna kamera za kisasa zenye uwezo mzuri wakuona hata kizani bila kupoteza taswira halisi

Karibu tukuhudumie .gharam zetu ni nafuu sana wamasiliano 0782719980


 
Mnayo camera iliyo kama grop ?

Yaani mtu akija atajua ni taa .
 
Nataka camere 2 tu za kuchukua 360 Bei gani ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…