G gwego1 JF-Expert Member Joined Jul 28, 2023 Posts 281 Reaction score 1,013 Aug 9, 2025 #1 Wakuu habari. Kama kichwa Cha habari hapo juu Mimi ni kijana ninaye jishugurisha na uuzaji wa kemikali kwa ajili ya kuchenjulia dhahabu. Napatikana Mkoa wa Mbeya wilaya ya Chunya! Najua humu Kuna watu Wana uhitaji wa hii huduma usisite kunitafuta nikuhudumie. Karibuni sana!! Mnisaidie nisirudi kuchunga ng'ombe huko usukumani. Shukurani.
Wakuu habari. Kama kichwa Cha habari hapo juu Mimi ni kijana ninaye jishugurisha na uuzaji wa kemikali kwa ajili ya kuchenjulia dhahabu. Napatikana Mkoa wa Mbeya wilaya ya Chunya! Najua humu Kuna watu Wana uhitaji wa hii huduma usisite kunitafuta nikuhudumie. Karibuni sana!! Mnisaidie nisirudi kuchunga ng'ombe huko usukumani. Shukurani.
APEFACE JF-Expert Member Joined Oct 1, 2016 Posts 6,278 Reaction score 12,584 Aug 10, 2025 #2 Una kemikali za kupasua miamba (kimiminika) zinazomiminwa kwenye mwamba ili kuupasua tofauti na baruti za kulipua?
Una kemikali za kupasua miamba (kimiminika) zinazomiminwa kwenye mwamba ili kuupasua tofauti na baruti za kulipua?
Ushimen Platinum Member Joined Oct 24, 2012 Posts 44,788 Reaction score 113,025 Aug 10, 2025 #3 Kwa muandiko huu lazima utarudi tu kuchunga ng'ombe huko usukumani aiseee
U unfortunately Member Joined Aug 6, 2025 Posts 49 Reaction score 35 Aug 10, 2025 #4 Dadeki ajira ngmu
K kirerenya JF-Expert Member Joined Aug 27, 2013 Posts 1,698 Reaction score 2,262 Aug 10, 2025 #5 Ushimen said: Kwa muandiko huu lazima utarudi tu kuchunga ng'ombe huko usukumani aiseee Click to expand... Mbona huna huruma mkuu ? 😂
Ushimen said: Kwa muandiko huu lazima utarudi tu kuchunga ng'ombe huko usukumani aiseee Click to expand... Mbona huna huruma mkuu ? 😂
G gwego1 JF-Expert Member Joined Jul 28, 2023 Posts 281 Reaction score 1,013 Aug 10, 2025 Thread starter #6 Ushimen said: Kwa muandiko huu lazima utarudi tu kuchunga ng'ombe huko usukumani aiseee Click to expand... Hahahahah Hadi nimecheka
Ushimen said: Kwa muandiko huu lazima utarudi tu kuchunga ng'ombe huko usukumani aiseee Click to expand... Hahahahah Hadi nimecheka