Mahitaji ya kusajili kampuni

Wewe brother sio smart Kabisa. Mdogo wangu alikupa kazi ya kumsajilia kampuni yake tangu December 2015,cha ajabu hela umechukua na mpaka leo hii umekaa kimya tu simu hupokei wala sms hujibu kama sio utapeli ni nini?.Acha kuhadaa watu humu kwenye mtandao.
 
Usajili wa kampuni unaweza ukafanya mwenyewe online.. kama mlitapeliwa mlijitakia
 
Hahahaha ,jamaa kumbe tapeli,we si unaona hata Tangazo lake limekaa kiwizi wizi.
Hembu anika number yake ya sim hapa na picha yake mkuu.

Maana tunataka kupasua majibu ya FJ matapeli
 
Brela.co.tz utapata maelekezo.n namba za brella zipo pale pale ni vizuri kujua procedure zao kabla ya kuwapa kazi matapeli
 
Kusajili kampuni ni rahisi tu. Kwa kampuni yenye mtaji wa 5m kwenye memorandum itagharimu sio zaidi ya laki tano kwa kila kitu hadi mwanasheria. Epuka matapeli.
 
Nataka kusajili kampuni ya ulinzi na construction nipe mchakato na gharama
Mkuu ingia Brela utamaliza kila kitu ila kama unataka kuandaliwa Memorandum and article of association tuPM
 
Nauza kampuni imesajiliwa. Bado haina TIN. Ni pm kama unahitaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…