Yofav
JF-Expert Member
- Mar 12, 2021
- 4,236
- 7,583
Habari wakuu,
Ikiwa una nyumba yako na unajiuliza ni wapi utapata mapazia au Mabomba ya mapazia pamoja na installation (ufundi) basi leo umepata suluhu kwani sisi tunaweza kumaliza tatizo lako hilo kwa gharama nafuu kabisa.
Mapazia yapo ila sitoyapost katika uzi huu bali unaweza kujionea katika post hii ➡️ Unahitaji mapazia ya nyumba yako? Pitia uzi huu
Bomba tulizonazo ni za chuma
Katika bomba hizi kuna aina mbili ambapo ni Double (ambaya inatumika katika set curtains yaani kama mapazia yako yatahisisha lace au pazia jepesi la nyuma)
Pia kuna Single ambayo hii inakuwa na side moja ambayo mapazia yataka normal way yaani kwenye mpangilio wa kawaida
Katika aina hizo hapo mbili pia kuna size ya urefu pia, Ambapo kuna urefu mita mbili na urefu mita tatu, Orodha ya bei na Size zote⬇️
Bomba hizi zipo katika rangi tatu, Ambapo ni;-
𝗕𝗟𝗔𝗖𝗞
𝗚𝗢𝗟𝗗
𝗦𝗜𝗟𝗩𝗘𝗥
Baadhi ya kazi zetu tulizozifanya hizi hapa;-
Kazi zipo nyingi mno tulizozifanya, Yote hayo ni ku-proove kwamba kazi tunaiweza mno.... So kama utahitaji huduma hii usisite kunicheki kupitia;-
WhatsApp: 255685269533
Instagram: @flameinteriors
Tuite site kwako tuje kuchukua vipimo kwaajili ya kazi.

Attachments
-
pazia_kariakoo_and_home_decor-20220630-0004.jpg187.5 KB · Views: 46 -
tz_decor_store-20220307-0005.jpg90.7 KB · Views: 51 -
pazia_kariakoo_and_home_decor-20220517-0005.jpg270.1 KB · Views: 46 -
tz_decor_store-20220307-0003.jpg42.3 KB · Views: 48 -
pazia_kariakoo_and_home_decor-20220627-0002.jpg272.5 KB · Views: 52 -
tz_decor_store-20220307-0006.jpg54.2 KB · Views: 51 -
pazia_kariakoo_and_home_decor-20220627-0001.jpg257.2 KB · Views: 50 -
pazia_kariakoo_and_home_decor-20220315-0001.jpg184 KB · Views: 47 -
pazia_kariakoo_and_home_decor-20220218-0001.jpg225.6 KB · Views: 49 -
pazia_kariakoo_and_home_decor-20220221-0027.jpg345.3 KB · Views: 48