Mahitaji ya Mapazia, Bomba zake na Full installation pita hapa

Yofav

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2021
Posts
4,236
Reaction score
7,583
Habari wakuu,
Ikiwa una nyumba yako na unajiuliza ni wapi utapata mapazia au Mabomba ya mapazia pamoja na installation (ufundi) basi leo umepata suluhu kwani sisi tunaweza kumaliza tatizo lako hilo kwa gharama nafuu kabisa.

Mapazia yapo ila sitoyapost katika uzi huu bali unaweza kujionea katika post hii ➡️ Unahitaji mapazia ya nyumba yako? Pitia uzi huu

Bomba tulizonazo ni za chuma



Katika bomba hizi kuna aina mbili ambapo ni Double (ambaya inatumika katika set curtains yaani kama mapazia yako yatahisisha lace au pazia jepesi la nyuma)


Pia kuna Single ambayo hii inakuwa na side moja ambayo mapazia yataka normal way yaani kwenye mpangilio wa kawaida


Katika aina hizo hapo mbili pia kuna size ya urefu pia, Ambapo kuna urefu mita mbili na urefu mita tatu, Orodha ya bei na Size zote⬇️


Bomba hizi zipo katika rangi tatu, Ambapo ni;-
𝗕𝗟𝗔𝗖𝗞


𝗚𝗢𝗟𝗗


𝗦𝗜𝗟𝗩𝗘𝗥


Baadhi ya kazi zetu tulizozifanya hizi hapa;-


Kazi zipo nyingi mno tulizozifanya, Yote hayo ni ku-proove kwamba kazi tunaiweza mno.... So kama utahitaji huduma hii usisite kunicheki kupitia;-

WhatsApp: 255685269533
Instagram: @flameinteriors

Tuite site kwako tuje kuchukua vipimo kwaajili ya kazi.
 

Attachments

  • pazia_kariakoo_and_home_decor-20220630-0004.jpg
    187.5 KB · Views: 46
  • tz_decor_store-20220307-0005.jpg
    90.7 KB · Views: 51
  • pazia_kariakoo_and_home_decor-20220517-0005.jpg
    270.1 KB · Views: 46
  • tz_decor_store-20220307-0003.jpg
    42.3 KB · Views: 48
  • pazia_kariakoo_and_home_decor-20220627-0002.jpg
    272.5 KB · Views: 52
  • tz_decor_store-20220307-0006.jpg
    54.2 KB · Views: 51
  • pazia_kariakoo_and_home_decor-20220627-0001.jpg
    257.2 KB · Views: 50
  • pazia_kariakoo_and_home_decor-20220315-0001.jpg
    184 KB · Views: 47
  • pazia_kariakoo_and_home_decor-20220218-0001.jpg
    225.6 KB · Views: 49
  • pazia_kariakoo_and_home_decor-20220221-0027.jpg
    345.3 KB · Views: 48
WAKUU, HERI YA MWAKA MPYA KWENU,

Namba yetu ya WhatsApp ni 255685269533

Kama utahitaji huduma basi usisite kuja direct WhatsApp for more info and bookin
 
Nahitaji mabomba ya Double. Rangi ya Silver. Nilitafutaa sanaa sikupataa nkaishia kuchukua GOLD.
 
Nahitaji mabomba ya Double. Rangi ya Silver. Nilitafutaa sanaa sikupataa nkaishia kuchukua GOLD.
nicheki basi kwa WhatsApp cocastic 0685269533
 
Nipo dom nahitaji huduma naipata wapi
 
Nipo dom nahitaji huduma naipata wapi
Kwa dom naweza kukutumia bomba ila installation ukafanyia huko mwenyewe mkuu, Ukihitaji bomba nicheki kwa WhatsApp 0685269533
 
Kazi zinaendelea wakuu, Hakika ukitupa kazi tunanyoosha.

Picha za chini zinaonesha kazi ikiwa tayari imeisha... Boss wangu tumemfanyia installation ya Bomba na Pazia zake✅
 

Attachments

  • 20230206_131427~2.jpg
    2 MB · Views: 47
KWA MAHITAJI YA BOMBA ZA MAPAZIA PAMOJA NA MAPAZIA NA KUFANYIWA FULL INSTALLATION, USISITE KUTUCHEKI...


TUPO SITE (Mbagala📍) ⬇️

Your browser is not able to display this video.
 
SITE TULIMALIZANA NAPO FRESH KABISA🤩
 
TULIKUWEPO,
NIPE KAZI YA KUFANYA INSTALLLATION YA MAPAZIA NA FIMBO ZAKE KWENYE NYUMBA YAKO

Mbezi B📍

Your browser is not able to display this video.
 
Keep supporting me wakuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…