Mahmood Thabit Kombo -Great Tanzania Diplomat of our times

ni wazi kuwa wazungu walituhujumu kufikia lengo hilo kwa kumuondoa the one Magufuli lakini wapo wazalendo wa Taifa hili wameweza kumantain lengo la Taifa...tuwalinde na siku zote tuwalinde hadi lengo litimie!!
Hakuna viwanda vinajengwa kwa kauli mbiu za kisiasa. Labda mkawahadae wazee na wakulima huko vijijini.
 
Hakuna viwanda vinajengwa kwa kauli mbiu za kisiasa. Labda mkawahadae wazee na wakulima huko vijijini.
kauli mbiu ya kisiasa ni driver katika kujenga jambo lolote...
 
No. He is but a horrible and deplorable one so to speak.
 
Uchawa mi kazi mgumu sana huyu mfunakuliwaji sojui kaandika shit gani?
 
Uchawa mi kazi mgumu sana huyu mfunakuliwaji sojui kaandika shit gani
Hiyo takataka ya kizenji sijui huyo mnywa damu kaiokota wapi?
 
Alissmaje kwenye intaneti kuzimwa?
hilo ni swala la waziri mwingine.judge him relevan
Why do you want my 'detailed explanations' without offering any in your shoddy and whacky assertion?
I have in a snap shot shared the hidden capability of this DIPLOMATIC GURU...please share with me the contra version of Thabit Kombo...and Iam here to listen!!
 
Mwache aende huko kulialia na kuwapigia magoti Mabeberu tusije kukosa misaada kabisa.
 

Muhuni mmoja kazi yake kutetea uhuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…