Wakuu NAomba Kujua.
.
Naonaga Kila Mechi Ikiisha Watangazaji wa Azam Media wanawahoji wachezaji/Makocha wa Mechi Husika.
.
Ila ts second time Naona Mechi za Azam zikimalizika Wachezaji au Makocha Hawahojiwi.
.
Hivi huwaga ni utashi wa Watangazaji wanaokuwa Kwenye hizo Mechi au kanuni za mashindano ya TFF zinataka iwe Hivyo?