bila ya shaka tutaweza kuhakikisha tunasikika vizuri wiki ijayo baada ya kubadilisha settings zetu. Hata hivyo mahojiano haya yataweza kuwadownloaded kwenye KLH News au kwenye mwanakijiji.com
shukrani for observation.
Nilijaribu kuingia Mwanakijiji.com siku ambayo JF ilikuwa haipatikani lakini nikakukuta kwamba ni lazima nijisajili ili kuwa na access ya web site yako, naomba uwaruhusu wasiotaka kujisajili wawe na access huko bila. Shukrani.
Mtu hata ukiongea point huku unakimbia asili yako ni ujinga, ana-twang kiswahili? mwanzo nilifikiri ni mzungu anayezungumza kiswahili baadae naona alisahau kuendelea na igizo. Tujivunie asili zetu jamani!!
Ndio J mashaka mwenyewe huyo.....anyway kalonga point tupu
mahojiano yalishaisha?
kitambo sana.. ila baadaye kama saa moja hivi... za jioni EST na saa sita za usiku EST (saa mbili za asubuhi TZ time) tutayarusha tena...
Point taken..hatahivyo sidhani kama kiswahili ni asili yetu.
Unadhani kiswahili ni asili ya nani?
Oh yes i came to find out yule mtu aliyepiga simu na kuongea na kujidai yeye anamjua john mashaka na sasa hivi yupo japan ni john mashaka mwenyewe...i have link ya daily news ile waliyomfanyia john mashaka interview yaani huwezi kukataa kabisa the dude ni john mashaka ana kasauti hako hako at first nilidhani ni demu baadaye nikadhani choko then nikajipatia jibu mwenywe kuwa ni brada john mashaka...kama ulisikia mahojiano yake na my cuzin mwanakijiji the listen to this and figure out for yourself...
jf profiles :: John Mashaka-DailyNews Interview video by wozupyo - Photobucket
Waswahili bana...

Cupcake Cupcake Cupcake.....you are so smart! No wonder why you are my cupcake....
Unadhani kiswahili ni asili ya nani?
Majibu aliyoyatoa Mh. Dr. Mwakyembe, mbunge wa Kyela katika mahojiano yake na Mwanakijiji yamenifanya niamini 100% kuwa usanii ndani ya CCM na serikali umekomaa na unaambukiza. Kwamba kuna wapiganaji ndani ya CCM wanaoweza kuleta mabadiliko itabakia ndoto kama alivyodhihirisha Dr.
1. Huyu ndiye Dr. anayemtetea Mkapa na kumsifu kwa utendaji mzuri na kuwaomba watanzania waache kumhusisha na ufisadi.
2. Huyu ndiye kama mwenyekiti wa tume ya Richmond, kwa makusudi aliificha bunge sehemu ya ripoti kwa kuhofia kuiumbua serikali.
3. Huyu anatamka hadharani kuwa ukitaka maisha mazuri na wananchi wazidi kukusikiliza ubaki CCM - hata kama inanuka ufisadi.
4. Huyu huyu anamtetea Waziri Mkuu kwa matamshi ya hatari kwa kisingizio kuwa Pinda kama mwanasheria hawezi kutamka maneno kama hayo - labda waandishi wanafunzi ndio walichemka.
Haya ni baadhi tu ya mengi yanayonifanya nichukue kwa tahadhari kubwa yale yote yanayotamkwa na wale wanaoitwa eti wapiganaji ndani ya CCM. Asante MKJJ kwa kunifungua macho - huwezi kujifunika hilo hilo shuka lililo na wachafu halafu useme u msafi.
Waliyoyakosa mahojiano yale.. wataweza kuyasikia tena in 5 minutes..