Mahojiano na Ras Makunja wa Ngoma Africa Band

Mahojiano na Ras Makunja wa Ngoma Africa Band

Rungu

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2007
Posts
3,932
Reaction score
1,726
Sawa Wakurugenzi!

Jamaa wa Kongoi.com wamechapisha mahojiano na mwanamziki Ebrahim Makunja aka Ras Makunja, mwasisi wa bendi ya The Ngoma Africa Band, kwenye mtandao wa Kongoi.com.

Katika mahojiano haya, Ras Makunja anagusia masuala ya mziki wa dansi na pia ule wa kizazi kipya. Zaidi, msanii huyu anachambua matatizo yanayofanya mziki wa Tanzania kutokuweza kufunika soko la kimataifa hadi hivi sasa.

Hayo na mengineyo utayapata ukisoma mahojiano na Ras Makunja wa Ngoma Afrika Band

Vipi, amepatia?
 
Back
Top Bottom