Mahojiano na Ray C jinsi madawa yalivyotaka kummaliza uhai

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2016
Posts
1,817
Reaction score
4,061
Akihojiwa kipindi cha FNL mwanadada Ray C anadai madawa ya kulevya yalikuwa yamtoe uhai, pia ametoa ushauri kuwa waathirika wasifungwe kwa kuwa kuwafunga hakuwasaidii bure na kupendekeza serikali ianzishe vituo vya Rehab vingi ambavyo waathirika watakuwa wakitibiwa burekwa kuwa sasa wengi wanafia mtaani kwa kushindwa kumudu gharama,

 
Huyu alisharipoti kwa makonda?
 
Huyu dada asije akarudi jamani.maana amesaidiwa mno.anajielezea vizuri sijui zile dawa ndio zilim nenepesha maana naona mwili wake sasa hivi ni mwembamba
 
Tatizo lake akivurugwa tu maisha anarudia tena kula madude.
 
Chizi haponi ila anapata nafuu tu,uyu binti baada ya msaada wa JK niliamini kaacha duh alichokuja kufanya mbavu sina..[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…