Mahojiano ya Diamond katika kipindi cha leo tena, amkubali mtoto wa Hamisa kuwa wake

Kudaaadeki hela bwana..Dai angekua muuza mitumba angeishia kupiga puli tu au kua namademu kama wa humu Jf[emoji1495]
Kabla hajawa star alitoswa sana huko uswahilini.

Kuna kademu kanaitwa Sara yule aliyeimbiwa ule wimbo wa nenda kamwambie ,aisee huyu demu alimtesa sana Mondi kabla hajawa star kwa sasa anahaha kurudisha penzi ila ndio hivyo ameshachelewa.
 
Yan hapo unakuta jitu linawazaaaa kumbe lenyewe hapo lilipo linaibiwa huko, limetoa au limeamuru kutoa mimba au ipo kati kati kuachwa
 
Uncle,tunda je?
Siku hizi mbona simsikii kabisa ukimtaja?au hii ni new version of Hance Mtanashati?
 
Tetea unachoamini ila presha alizopitia Hamisa ni kubwa kuliko umri wake
Wote wamefanya makosa kwa kila mmoja na nafasi yake,Duniani hakuna aliye timia kikubwa Sasa mambo yameshakua hadharani kila mmoja achukue nafasi yake Dai sio mwanaume wa kwanza kuzaa nje ya mahusiano yake tena wapo wengine wanazaa nje ya ndoa sembuse yeye mahusiano tu! Hata Dai aseme anapeleka kwa Hamisa laki 2 ya serikali ajue hamkomoi Hamisa ataikomoa damu yake mwenyewe ,wabongo badala ya kuwashauri hawa vijana tumekua mahakimu kumtafuta mkosaji. Hiyo haitisaidia kwa sasa ni muda wao wote wa 3 kufunga mikanda kusonga mbele,tuacheni pekepeke na sie tupambane na ndoa zetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…