Mahojiano ya Diamond katika kipindi cha leo tena, amkubali mtoto wa Hamisa kuwa wake

Ambao hawajapevuka hawaelewi hayo
 
Kwa kiasi fulani nilikuwa nam-admire sana Diamond kimziki na maisha yake na Zari na family. Lakini baada ya tukio hili la ku-cheat nimemdharau. Nafahamu Waislamu wanaruhusiwa kuoa mke zaidi ya mmoja, lakini sidhani kama wana afiki tabia ya michepuko.
 
Ama kweli niko nyuma ya dunia, eti haya ndio nayajua sasa hivi baada ya kuyasoma humu!!!!
Mi mwenyewe eti ndo najua sasa hivi, duuh!! Tunaishi kwenye box nadhani sista
 
Hata sikuwa kazini jana na leo, nilikuwa busy tu na mambo mengine. Sasa naingia humu ndio nikauona huu uzi kwa bahati tu, nausoma kumbe wa tokea jana!! Ama kweli nimezeeka.
Shikamoo bibi[emoji1] [emoji1]
 
Hahha...

Anaanzaje sasa...!!??
Kama mimi Zari....Natafuta mwanamme Mkenya nazaa nae so nakuwa na watoto wa [HASHTAG]#Tanzania[/HASHTAG] [HASHTAG]#Kenya[/HASHTAG] na [HASHTAG]#Uganda[/HASHTAG] nakuwa nawakilisha [HASHTAG]#Afrikamashariki[/HASHTAG] vizuriiiiiiiiiiiiiiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…