Mahojiano ya Diamond katika kipindi cha leo tena, amkubali mtoto wa Hamisa kuwa wake

Yupo live Youtube kupitia channel ya Clouds Media Group.
 
Ndo maana nkasema bahati anayo,alichokosa ni akili na stara,huwezi ukawa na akili ukapata wanaume wa kukulea,kukutunza na kukupa nafasi ya kupata mtaji wa kufanya biashara alafu bado ukaharibu.inamaana huyo anataka kuishi kwa kutegemea punani tu.
Hivi unaijua Recognition wewe!? Ni zaidi ya pesa,kitendo cha Diamond kumkubali tu mtoto wa Hamisa hata asipotoa mia ni faraja kwa Hamisa,msituletee mambo yenu kuna tendo la siri ila hakuna mtoto wa siri watoto wote wote wote wana baba zao wawatunze wasiwatunze ni lazima wajulikane na sio kumkataa kataa kisa unaleta sent kumi zako
 
hivi kumbe watu mko serious asubuhi hii kutega sikio redioni sijui ni kwenye tv kusikiliza ubuyu......

bongo bahati mbaya
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Duh juzi mpoky kasema si unajua look hanaga break ya mdomo, kumbe majay analalamikaa, siku ya bday hamisa alitaka wakumbushie hehhe ila Lulu anabana kila kona, yani hamisa kula yake ni kupitia wanae lol
Hicho nacho ni kipaji mbona hata mama zetu kula yao ni kupitia baba zetu na hakuna la ajabu
 
Moja Ya interview za kiutu uzima alizo wahi kufanya Diamond HII NDIO YA KWANZA
Diamond huwa anajua azungumze nini ,wapi na wakati gani kulingana na mashabiki zake na haters wake nini wanachotaka kukisikia kutoka kwake.

Yeye daima huwa hazungumzi zungumzi tu bali huzungumza kwa mpangilio maalum tofauti na kale kajamaa ka kariakoo kazee ka Yoooooooo.
 
Clinton alikiri hadharan na juzi hapa mchekeshaji Kevin Hart amekiri na wana wake zao kama wangekua hawakubaliana nao wangeomba talaka, kwa hiyo kutosema tu inatosha kuhitimisha kwamba wamekubaliana na hali yao
 
Jamani Mtoto si dhambi ,mradi umueleze Mkeo ukweli,. Ni vitu vinawapata wengi tu.!!
 
Vitu vya Radio vya Tanzania Vinaboaga Ni Matangazo tuu Hata utamu wa Interview Haupoo acha mtu amaliza Matangazo yapo mtaleta tuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…