Mtoto alisha zibuliwa masikio yule....[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Huyu Zari si ana mtoto mdogo huyu????
Comrade....Haya Mambo Ngoja Niwaachie Vijana Wa Dar Es Salaam
Waiter Zungusha Tena[emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji482]
Diamond anadai ile haikuwa kiki alikuwa amekasirishwa na kupaniki sana na picha iliyotumwa mtandaoni ikionyeshwa Zari akikamatwa maeneo flani
Ila alipompigia simu Zari akamuambia ile haikuwa kama inavyoonekana bali ni reflection ya mwanga ndipo akaitoa,
Mkuu Nipo Huku Karibu Na Counter Nimepiga Pens Nyekundu Na T Shirt Ya BlueComrade....
Umekaa upande upi, mbona aikuoni!?
Comrade,Mkuu Nipo Huku Karibu Na Counter Nimepiga Pens Nyekundu Na T Shirt Ya Blue
Si Useme tuuu kama ulipigiwa simu ukaambiwa utoe coz unaharibu Kiki ya baba.... Ila lengo lako ilikuwa kutafuta Kiki ya wimbo mpyaDiamond anadai ile haikuwa kiki alikuwa amekasirishwa na kupaniki sana na picha iliyotumwa mtandaoni ikionyeshwa Zari akikamatwa maeneo flani
Ila alipompigia simu Zari akamuambia ile haikuwa kama inavyoonekana bali ni reflection ya mwanga ndipo akaitoa,
Sheria ya nchini kwenu hiyo ni Nouma sana!Ukikaa na mwanamke miezi sita umeoa,
Welcome Again Mkulugenz Agiza Tuu Ila Bill Leta KwanguComrade,
Nimesha kuona...[emoji5] [emoji5] [emoji5]
Ngoja nisogee hapo
Ukikaa na mwanamke miezi sita umeoa,
Hili jibu kila nikilisikia naishia kucheka tu,niliishi na binti zaidi ya mwaka 1 then tukaamua kuachana kwa sababu zetu tu ile bi mkubwa kupata habari after a month ivi akamuita yule binti akamuambia aseme vitu ambavyo vilipatikana tukiwa wote hakika vilipigwa pasu kwa pasu mbele ya bi mkubwa sikuamini macho yangu hadi gari ya mkopo iko kwenye mgao alafu bi mkubwa akaniambia tulikua mume na mke na nikapigwa mkwara ukichukua binti mwingine ulafu ukae nae kama uyu na muachane nagawa tena [emoji23][emoji23][emoji23] thanks Mom maana aliefuta nilioa fastaaaaaaaa.
hamjfunzi tu kwamba hiyo ni kiki!..wakitaka kutoa ngoma lazma watangulize tukiokaka chibu wosia wangu umeshakua Baba na Zarinah Hassan ni mama watoto wako, usiwe unakurupuka kitoto umekua sasa na isitoshe nawashauri muweke privacy kwenye maisha yenu ya siri sio kila kitu tufahamu ndo maana kuna interview za redio na tv,kukitaka kujua lolote kuhusu nyine tutauliza, lakini nashauri ungetengeneza video clip kama za ti &tin tuone maisha unayoishi ya kweli heshima unayopewa nyumbani kama Baba sio kuweka picha sizizokua maadili
mwenzio nilipgwa ban hilo neno nyuma ya 'ya zari,Hivi ukiwa na akili timamu maku ya Zari ni ya kuonea wivu? Maana imesuguliwa hadi basi na kila mtu