Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,391
- 3,849
ilikuwa hivi
Polisi: Jafari tumekuita ili tukuhoji kuhusu mali zako je uko tayari tuchukue maelezo
Jafari: Ndio niko tayari
Polisi: Hizi mali ulizipataje maana kipato chako halali hakiendani na mali ulizonazo au unazo miliki
Jafari: Afande nilipokuwa fukara na maskini hamjaniita nije kuhojiwa kuhusu hali yangu ya uchumu kuwa duni.
Polisi: Jafari usinipangie maneno ya kukuuliza, jibu kile ambacho ninacho kuuliza hapa
Jafari: Sawa afande mimi kusema ukweli kabisa ni kwamba mali ninazo miliki huletewa na majini, kila siku usiku lazima majini yaniletee fedha kiasi kikubwa hivyo huamua kujiendeleza na kufungua miradi kama uliziona.
Polisi: Jafari usitutanie 😱😱😳😳🙄🙄
ITAENDELEA.....