Mahoka ya Waimbaji Wetu wa Injili

Mahoka ya Waimbaji Wetu wa Injili

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,258
DSC077482.jpg
 
Ni wasanii kama wasanii wengine, maisha yao binafsi sio lazima yafanane na wanachokiimba, wao wanachohakikisha ni kuwapagawisha mashabiki wao kwa sebene za Yesu zilizo na viwango kama za Ngwasuma, zenye impact kwa mashabiki zaidi ya Akudo, hivyo ndiyo wanavyopiga hela na wanaendelea na maisha yao kama kawaida.
 
umenena vyema sana mtumishi

Username yako mhhh. Sijui uliwaza nini??????
 
Ikuze basi tuone kile kilichoandikwa kwa kila picha ya muhusika.Maana hazisomeki.
 
Ni wasanii kama wasanii wengine, maisha yao binafsi sio lazima yafanane na wanachokiimba, wao wanachohakikisha ni kuwapagawisha mashabiki wao kwa sebene za Yesu zilizo na viwango kama za Ngwasuma, zenye impact kwa mashabiki zaidi ya Akudo, hivyo ndiyo wanavyopiga hela na wanaendelea na maisha yao kama kawaida.

kweli kabisa wahahisia kama wengine tu
 
Hizi story za Rose Mhando kubwia bwimbwi zina ukweli kiasi gani? maana Shigongo kazikomalia kweli...
 
Ni wasanii kama wasanii wengine, maisha yao binafsi sio lazima yafanane na wanachokiimba, wao wanachohakikisha ni kuwapagawisha mashabiki wao kwa sebene za Yesu zilizo na viwango kama za Ngwasuma, zenye impact kwa mashabiki zaidi ya Akudo, hivyo ndiyo wanavyopiga hela na wanaendelea na maisha yao kama kawaida.

Ila mkuu hili jina lako tu ndio limenichosha ,
 
Back
Top Bottom