Mahondaw mpenzi wangu, kitandani usishuke zima taa kabisa

Status
Not open for further replies.
Kwani ni dhambi Shunie? Haya waambie mods kumquote mtu humu kuwa na muda maalum utakaouchagua wewe. Let’s say six months [emoji12]

Unatakiwa uende na wakati sio thread ya miaka hiyo unaquote mambo yalishapita
 
Kwenye mapenzi majaribu ni mengi hayakosi msiyaogope ni kukaa chini na kutafuta suluhisho. Kuna jaribu moja humu waliwashambulia sana hasa wewe nikahisi mnaweza kutetereka but you’re still very strong in your commitment.

Ila majaribuu front majaribu ni mengi mno mno rafiki.. Sijui kama Smart911 atachomoa baadhi ya mitego.
 
Heartwarming words🥳🥳🥳
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…