Hili limtu lina wivu we zee la kale ushapitwa na wakati!Dogo Fanya kazi ww acha upuuzi wa kuandika madudu na Hao madem wenzio(Sijui jinsia yako) Hao hata wasipokua na kazi wao wataolewa ww je?
Hhaaa mwana usinichukie buree tu..
Mkuu ni ke mahondawteh teh Makonda son ame escape kama jpm alivyowa escape bbc
Nani tena[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umetoswa
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hapa anachungulia tuu anaogopa kukanyaga ataanguka na presha
swali langu: Alisema ikiwa atamkuta smart anachenjua na kupima kojo kwingineko, ataamua na yeye kuvua kikoi na yeye wachanjuane makinikia?
Je yupo tayari kuwa side chick? Kama ikitokea mambo ya si-si vip yataisha? niishie hapo kwanza
Wewe hapo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Aleppo mzima wewe???Hapa anachungulia tuu anaogopa kukanyaga ataanguka na presha
swali langu: Alisema ikiwa atamkuta smart anachenjua na kupima kojo kwingineko, ataamua na yeye kuvua kikoi na yeye wachanjuane makinikia?
Je yupo tayari kuwa side chick? Kama ikitokea mambo ya si-si vip yataisha? niishie hapo kwanza
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Aleppo mzima wewe???
Hivi kipenzi shemela u apata picha . Mahondaw anafanyiwa interviewe afu allepo yupo.Wewe hapo
Kijana Aleppo classmet umeshindwa kumtoa kwa huyu mluga luga?Mimi mzima best nakuona nakuona tuu unazurura zurura tu humu ndani
Jf bhana....[emoji12] [emoji12] [emoji12]Hivi kipenzi shemela u apata picha . Mahondaw anafanyiwa interviewe afu allepo yupo.
Unategemea maho ataacha kutoka nduki?
Kijana Aleppo classmet umeshindwa kumtoa kwa huyu mluga luga?
Fanya mambo usiuachie utamu hivi hivi uendelee kuliwa
Nitafanya nini sasa mie jamani...bora nizurule humu nicheke,nifurahiMimi mzima best nakuona nakuona tuu unazurura zurura tu humu ndani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nyie watu
Cc Aleppo Saint Ivuga tena shemela weweeee
Unaanzaje kukosea??? Sema tu bestKama mtu unampenda si unamwambia tu jamani
au nimekosea best mnirekebishe
Unaanzaje kukosea??? Sema tu best