Mahouse girl na Mambo Yao!

Mahouse girl na Mambo Yao!

Etugrul Bey

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2020
Posts
6,514
Reaction score
15,247
Ilikuwa ni Secondary na ni Shule ya Jeshi ambayo ni maarufu Sana hapa dar es salaam,na Kwa gwaride tulilokuwa tunakula pale unakuwa kama nusu Mwanajeshi hivi,na ndio maana huwezi kuwakuta watoto wa mama wanasoma pale,kama wewe ni mtoto wa mama lazima utaomba uhamishwe pale.

Kwanza ukifika Tu getini unatakiwa uanze kukimbia Mita kadhaa na ukifika point husika ndio unaanza kutembea,tulikuwa A level kwenye miaka hiyo.

Anyways baada ya introduction twende kwenye code husika.

Kuna mshikaji wangu mmoja kila ikifika break time mida ya saa nne huwa anaondoka shuleni kwenda home,na sijui alikuwa anatokatoka vipi getini, coz getini kuna mjeshi na kama unavyojua huwa hawana ushikaji wale jamaa.

Lakini mwamba ilikuwa ni kawaida yake daily ikifika break time shule yake ndio imeishia pale utamuona tena next day,kumbe bwana alikuwa na darasa private na house girl wao!

Je ilikuwaje mpaka mwamba akanifungulia code?

Twende pamoja...........

Alichokuja kufahamu Yule mwamba ni kuwa kumbe hata Mjomba wake nae alikuwa na masomo ya ziada na Yule house girl.

Mjomba nae anaenda kazini halafu mida Fulani kabla ya mchana au mchana anarudi home na Kula raha na house girl.

Siku moja mdada WA kazi akamwambia jamaa kuwa ujue hata Mjomba wako nae pia huja kukata kiu hapa?

Daah ikabidi jamaa ashangae Mjomba nae ana masomo ya ziada?
Binti akamwambia naam! Akamwambia jamaa kuwa kesho ukirudi skonga kaa room kwako halafu ucheki movie nzima inakuwaje.

Wanasema wakulungwa kuwa Usiku WA deni haukawii, kweli bwana mara paap jamaa Akiwa room kwake Akaona geti linafunguliwa na Anko anaingia home kwake,Mda si mwingi anashuhudia Anko anamshika binti mkono na kwenda kuvunja amri ya sita,jamaa alichoka na kugundua Ile ishu.

Akaja kuniambia mwanangu ujue unaweza kufa na Ngoma hivi hivi wajiona, kuanzia hapo mwamba akawa haondoki tena mida ya break,hayo ndio mambo ya wadada WA kazi huwa wanafanya kazi za ziada.

Imenikumbusha kipindi Fulani tulikuwa na mdada WA kazi ni kutoka pwani,yeye bwana alianza kulala sebuleni mara baada ya Sisi kwenda kulala,bahati nzur chumba chetu kilikuwa self lakini naona alikuwa ana mipango maalumu ya kuniingiza king.

Siku moja nimetoka usiku chumbani na kwenda sebuleni kucheki cheki usalama,nikamuona binti Kalala kwenye Kochi chali na ametanua miguu yaan kakaa kimitego kabisa,ningekuwa bandidu ningefanya yangu lakini nilimwambia wife,na wife kumbe alishaambiwa kuhusu wadada WA pwani wao kukuchukulia mumeo sio kesi na waeza jikuta unaachwa Kwa ndumba na mdada anakuwa mama house.

Mama wenye Nyumba muwe Makini Sana na wadada WA kazi huwa Wana kazi za ziada katika majumba yenu.

Ni hayo Tu!
 
Kama hukuwahi kula house girl wenu, basi jipigepige kifua, tetema kama Mayelle kisha kwa sauti kubwa na nzito, sema mimi ni kondoo 🐑 🐏 🐑 🐏 🐑 🐏
Ila mkuu unayosema ni kweli

Binafsi huwa napenda ukweli,nilishawahi kupita na kahouse girl ketu nikiwa mvulana,kalikuwa kapisi flani hivi

Hatar Sana aisee
 
Bila shaka hiyo ni jite Ute
Unaluka kichura mpaka getini halafu unarudi usawa wa Library.

Maafande wanajua umepewa adhabu na wenzao, wakizubaa nduki.

Uwanja wa Taifa kule nyuma kwenda kuwaangalia Tmk wanaume wakifanya mazoezi ya kuimba na kucheza.

Huku wachache wakila msuba na maafande ila kule wanakuchunia
Jite raha sana.
 
Mule mule mkuu

Nilijua Tu wajanja mtaijua hiyo code
 
Ilikuwa ni Secondary na ni Shule ya Jeshi ambayo ni maarufu Sana hapa dar es salaam,na Kwa gwaride tulilokuwa tunakula pale unakuwa kama nusu Mwanajeshi hivi,na ndio maana huwezi kuwakuta watoto wa mama wanasoma pale,kama wewe ni mtoto wa mama lazima utaomba uhamishwe pale.

Kwanza ukifika Tu getini unatakiwa uanze kukimbia Mita kadhaa na ukifika point husika ndio unaanza kutembea,tulikuwa A level kwenye miaka hiyo.

Anyways baada ya introduction twende kwenye code husika.

Kuna mshikaji wangu mmoja kila ikifika break time mida ya saa nne huwa anaondoka shuleni kwenda home,na sijui alikuwa anatokatoka vipi getini, coz getini kuna mjeshi na kama unavyojua huwa hawana ushikaji wale jamaa.

Lakini mwamba ilikuwa ni kawaida yake daily ikifika break time shule yake ndio imeishia pale utamuona tena next day,kumbe bwana alikuwa na darasa private na house girl wao!

Je ilikuwaje mpaka mwamba akanifungulia code?

Twende pamoja...........

Alichokuja kufahamu Yule mwamba ni kuwa kumbe hata Mjomba wake nae alikuwa na masomo ya ziada na Yule house girl.

Mjomba nae anaenda kazini halafu mida Fulani kabla ya mchana au mchana anarudi home na Kula raha na house girl.

Siku moja mdada WA kazi akamwambia jamaa kuwa ujue hata Mjomba wako nae pia huja kukata kiu hapa?

Daah ikabidi jamaa ashangae Mjomba nae ana masomo ya ziada?
Binti akamwambia naam! Akamwambia jamaa kuwa kesho ukirudi skonga kaa room kwako halafu ucheki movie nzima inakuwaje.

Wanasema wakulungwa kuwa Usiku WA deni haukawii, kweli bwana mara paap jamaa Akiwa room kwake Akaona geti linafunguliwa na Anko anaingia home kwake,Mda si mwingi anashuhudia Anko anamshika binti mkono na kwenda kuvunja amri ya sita,jamaa alichoka na kugundua Ile ishu.

Akaja kuniambia mwanangu ujue unaweza kufa na Ngoma hivi hivi wajiona, kuanzia hapo mwamba akawa haondoki tena mida ya break,hayo ndio mambo ya wadada WA kazi huwa wanafanya kazi za ziada.

Imenikumbusha kipindi Fulani tulikuwa na mdada WA kazi ni kutoka pwani,yeye bwana alianza kulala sebuleni mara baada ya Sisi kwenda kulala,bahati nzur chumba chetu kilikuwa self lakini naona alikuwa ana mipango maalumu ya kuniingiza king.

Siku moja nimetoka usiku chumbani na kwenda sebuleni kucheki cheki usalama,nikamuona binti Kalala kwenye Kochi chali na ametanua miguu yaan kakaa kimitego kabisa,ningekuwa bandidu ningefanya yangu lakini nilimwambia wife,na wife kumbe alishaambiwa kuhusu wadada WA pwani wao kukuchukulia mumeo sio kesi na waeza jikuta unaachwa Kwa ndumba na mdada anakuwa mama house.

Mama wenye Nyumba muwe Makini Sana na wadada WA kazi huwa Wana kazi za ziada katika majumba yenu.

Ni hayo Tu!
Nawapendaga kwakua wapo makini sana na wanashika mimba haraka
 
Hahah nadhan Pana ukweli Fulani hivi

Kuna Baba mmoja aliwahi Toa ushuhuda kuwa alitembea na mahouse girl wake sita na wote aliwajaza mimba.

Alikuwa anapiga usiku mnene wakati wife anakoroma,yeye anaamka na Kula house girl.

Wamama nawafungulia code msiwe mnalala kama mmekufa wezenu wanapiga game
 
Kuna

Wamama nawafungulia code msiwe mnalala kama mmekufa wezenu w

Hahah nadhan Pana ukweli Fulani hivi

Kuna Baba mmoja aliwahi Toa ushuhuda kuwa alitembea na mahouse girl wake sita na wote aliwajaza mimba.

Alikuwa anapiga usiku mnene wakati wife anakoroma,yeye anaamka na Kula house girl.

Wamama nawafungulia code msiwe mnalala kama mmekufa wezenu wanapiga game
Kuna mmoja alimuuliza bosi wake kuwa kama akiwa na hisia za kimapenzi ataenda malizia wapi?
 
Duh huyo katisha Sana mkuu,kaona isiwe tabu ngoja afunguke

Kuna mmoja nae alikuwa anafungiwa geti Kali, ashiki zimemjaa akafumwa ana katoto kadogo kaboss kama miaka 8 au 9 hivi anakagusisha kaboro kake katik k, mama mwenye nyumba kuanzia hapo akawa anamruhusu kila jumapili akatembee akutane na wakali WA hayo mambo.

Na wengine wameshaambukiza watoto wa maboss wao Ngoma!

Hawa viumbe Wana mambo Sana aisee
 
Back
Top Bottom