Mahouse girl na Mambo Yao!

Ukiona unategwa hadi na mahouse girls ujue wewe ni mtu wa kujichekesha chekesha
Kweli mkuu

Ukiweka ukaribu nao WA namna hiyo ujue unawapa green light kuwa chochote kinawezekana
 

Ukishamtongoza beki 3 na akikubalia unatakiwa kujua.

kuwa wewe ni mwanaume wake watano kukubalia tokea afike hapo.
 
Hatari Sana mkuu
juzi nimemuacha demu beki 3 kwa sababu kadhaa tu. ikiwepo kutokuwa na wasiwasi na mimi.

mkuu sifa ya mwanamke anaekupenda unapopitia wakati mgumu na yeye anakuwa na hofu lakini yule beki 3 MAE zake hana hofu kabisa

ila baadae nikaja kugundua kuwa yule hawezi kuwa na mapenzi ya kweli kwa sababu yupo kiutafutaji zaidi
 
Hongera Kwa kusoma alama za nyakati mapema mkuu

Mkuu kumbe nawe ni mwanachama mzuri WA hao wadada, umetisha Sana mkuu
 
Hongera Kwa kusoma alama za nyakati mapema mkuu

Mkuu kumbe nawe ni mwanachama mzuri WA hao wadada, umetisha Sana mkuu
😁😁😁 kwa age yangu niliyopo now namshukuru mungu kwa kunipa upeo wa kuwasoma wanawake ndani ya second tu hata kama anajifanya analia najua kumsoma kama huyo anasema kweli au liongo
 
😁😁😁 kwa age yangu niliyopo now namshukuru mungu kwa kunipa upeo wa kuwasoma wanawake ndani ya second tu hata kama anajifanya analia najua kumsoma kama huyo anasema kweli au liongo
Unastahili kuongeza mbinu za kivita Cuba mkuu

Ngoja tuone namna ya kufanikisha hayo mambo kule
 
Gonoria, kaswende na mwishowe UKIMWI.
UKIMWI ni ugonjwa hatari sana.
 
Mahouse girls wengi sana wanaukwaa Ukimwi sababu ya tamaa zao za kutembea na wenye nyumba, watoto na ndugu wa wenye nyumba.

Kuna kahouse girl ketu kamoja kalipita na cousin wangu alipokuja kututembelea. baadae nakuja kujua cousin alizaliwa nao na akaacha kunywa dawa zake tulishamzika toka 2016 ila alifanya destruction ya kutosha kwa mahousegirls na vidada mtaani na wake za watu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama hukuwahi kula house girl wenu, basi jipigepige kifua, tetema kama Mayelle kisha kwa sauti kubwa na nzito, sema mimi ni kondoo [emoji207] [emoji231] [emoji207] [emoji231] [emoji207] [emoji231]
Hapana, sema.mimi ni Fala
Binafsi nilikula House girl wa home nikiwa Darasa la Pili, hata Sijabalehe, ila nadindisha
 
Daah inahuzunisha Sana kwakweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…