Mahrez ni better kuliko Drogba?

Msimu umeamua na siyo kulinganisha mchezaji mmoja mmoja
 
Mahrez ni zaidi ya drogba,yaya toure nk.

Huyu jamaa hana papara uwanjani, anatumia skills za kutosha na ndivyo wa Algeria walivyo...Big up sana AlgeriaMan
 
Angalia muscle za timu husika hawa watu walizochezea.. drogba alicheza chelsea iliyokamilika kila idara na katika kpnd chote alichongara na wachezaji wengine walingara pia na wengeine walingara na chelsea hiyo hiyo..
Ila mahrez amecheza leicester ambaya hakuna alieiamini ligi ilipoanza, na ikumbukwe kua msimu huu timu kubwa na wachezaji wake wako hovyo pia
 
Waafrika tutengeneze Escrow account na kupiga soga tu
 
Kilichomponza drogba ni rangi yake mtu mweusi kwa wazungu ni nyani ndo maana hakupata
 
Drogba vs Ronaldo.
Mahrez vs Depay.
Mahrez vs Giroud.
Drogba vs Torres.
Naamini jibu Liko hapo.
Uko sawa mkuu.

Drogba alikuwepo kipindi cha wachezaji mahiri. Angalia wachezaji waliokuwepo & uwezo wao kipindi Drogba anaanza kucheza EPL, LINGANISHA na hawa wa sasa hivi. Hao akina Rooney, nk umri umeshawatupa mkono, Aguero anaumia mara kwa mara, na huyu Kane bado hajakomaa kivile; Pengine Spurs ingekuwa inaongoza angeweza kushinda.

2003–04 - Thierry Henry (Arsenal)
2004–05 - John Terry (Chelsea)
2005–06 - Steven Gerrard (Liverpool)
2006–07 - Cristiano Ronaldo (Manchester United)
2007–08 - Cristiano Ronaldo (Manchester United)
2008–09 - Ryan Giggs (Manchester United)
2009–10 - Wayne Rooney (Manchester United)
2010–11 - Gareth Bale (Tottenham Hotspur)
2011–12 - Robin van Persie (Arsenal)
2012–13 - Gareth Bale (Tottenham Hotspur)
2013–14 - Luis Suárez (Liverpool)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…