Mahubiri machungu na ya kutuponya toka kwa Kuhani na mwalimu Musa Richard Mwacha

Mahubiri machungu na ya kutuponya toka kwa Kuhani na mwalimu Musa Richard Mwacha

mama D

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
19,981
Reaction score
35,581
Vijana kuna tuition nzuri sana toka kwa Kuhani na Mwalimu Musa Richard Mwacha

Mwanaume mwenye viwango vya juu kama kichwa cha familia.

Big up kwa mwanaume yoyote mwenye bidii ya kazi.

Eti umekula?? umekunywa maji?? Umelala??😂😂😂

Baadhi ya Watoto wa kike hawataki kutumia ubongo zao

Huduma za kikuhani hapa duniani zilikomeshwa kwa kifo cha Yesu msalabani kuhani aliyebaki ni Kristo pekee akihudumu katika hekalu la mbinguni

Huyu kuhani mwanadamu leo ni kwa vigezo gani?
 
Huduma za kikuhani hapa duniani zilikomeshwa kwa kifo cha Yesu msalabani kuhani aliyebaki ni Kristo pekee akihudumu katika hekalu la mbinguni

Huyu kuhani mwanadamu leo ni kwa vigezo gani?
Huyo ni mchumia tumbo
 
Huduma za kikuhani hapa duniani zilikomeshwa kwa kifo cha Yesu msalabani kuhani aliyebaki ni Kristo pekee akihudumu katika hekalu la mbinguni

Huyu kuhani mwanadamu leo ni kwa vigezo gani?

Kakuambia nani hivyo!??

Mwenyewe Yesu Kristo aliye hai alituambia

YOHANA 14: 12
Hakika nawaambia, yeyote anayeniamini atafanya mambo kama yale niliyoyafanya. Naye atafanya mambo makubwa zaidi ya yale niliyofanya, kwa sababu mimi naenda kwa Baba.

WAEBRANIA 5:1-3
Maana kila kuhani mkuu aliyetwaliwa katika wanadamu amewekwa kwa ajili ya wanadamu katika mambo yamhusuyo Mungu, ili atoe matoleo na dhabihu kwa ajili ya dhambi;
awezaye kuwachukulia kwa upole wao wasiojua na wenye kupotea, kwa kuwa yeye mwenyewe yu katika hali ya udhaifu; na kwa sababu hiyo imempasa, kama kwa ajili ya watu, vivyo hivyo kwa ajili ya nafsi yake mwenyewe, kutoa dhabihu kwa ajili ya dhambi.
 
Huyu anaibia watu
Binadamu haitaji kumjua Mungu kupitia watu wahuni

Mungu ukitaka kumpata fanya hivi
Usafi wa roho
Usafi wa Matendo utu
Usafi wa Mwili kukaa mbali na ngono na kukataa #Ndoa. That all
 
Back
Top Bottom