Hao ni wale wale kwa vipimo na maandiko waliokuwa makuhani ni walawi hao wengine wote ni wachumia matumbo tu,Kwani huwa unaugawa wewe hadi uulize yeye kautoa wapi?
[emoji1][emoji1]
Huyo ni mchumia tumboHuduma za kikuhani hapa duniani zilikomeshwa kwa kifo cha Yesu msalabani kuhani aliyebaki ni Kristo pekee akihudumu katika hekalu la mbinguni
Huyu kuhani mwanadamu leo ni kwa vigezo gani?
Huduma za kikuhani hapa duniani zilikomeshwa kwa kifo cha Yesu msalabani kuhani aliyebaki ni Kristo pekee akihudumu katika hekalu la mbinguni
Huyu kuhani mwanadamu leo ni kwa vigezo gani?