Mahudhurio clinic kwa mjamzito

Madewa

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2012
Posts
467
Reaction score
189
Natumaini wote ni wazima wa afya.
Wanajamvi nisaidieni ktk hili,hivi ni lini mama mjamzito anatakiwa aanze kwenda clinic?
Je,sindano za tetenasi na vidonge vya madini chuma anatakiwa aanze lini?
Natanguliza shukrani.
 
ngoja na mimi nisubirie majibu nikamweleze bibie!
 
miezi mitatu ya ujauzito ni vyema mama akaanza clinic
 
Vizuri sana.
Pamoja na hayo mimi ningependa kujua ni kwa namna gani mjamzito afanye ili aepuke kujifungua kwa oparesheni.

kikubwa cha muhimu ni kufanya mazoezi..hususani kutembea.Mimi nakumbuka nilikuja kushituka mwezi wa 9 wa ujauzito mtoto hajashuka ndo nikaanza kufanya mazoezi ila haikusaidia maana nilipata kisu.Hayo mazoezi ni vyema mama mjamzito akaanza kufanya mapema.
 
vipi Apolinary,maumivu ya moyo yamepungua?? hayo pia yanahitaji clinic ya psychologist..Nami kuna wakati yananipata sana.
 
vipi Apolinary,maumivu ya moyo yamepungua?? hayo pia yanahitaji clinic ya psychologist..Nami kuna wakati yananipata sana.

Maumivu ya moyo yako pale pale yaani nahisi kama kuna kitu nataka kusema lakini hakisemeki"

Back to the topic
Hayo mazoezi ni kutembea tu au kuna ya ziada?
Anne deo
 
Last edited by a moderator:
Maumivu ya moyo yako pale pale yaani nahisi kama kuna kitu nataka kusema lakini hakisemeki"

Back to the topic
Hayo mazoezi ni kutembea tu au kuna ya ziada?
Anne deo

Haya maumivu ya moyo itabd tuunde kamati..kama leo najickia kama moyo unatoka.Kutembea ndo mazoezi mazuri Apolinary,haitakiw mazoezi magumu yanaweza sababisha misccarge
 
Last edited by a moderator:
Vizuri sana.
Pamoja na hayo mimi ningependa kujua ni kwa namna gani mjamzito afanye ili aepuke kujifungua kwa oparesheni.

Walking mazoezi mazuri sana.....

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…